Kumbeee...wanafaidi aiseePale moshi kiborlon inatengenezwa tamu balaa.
Watu wengi wanaotoka mikoani kwenda kuzika moshi,wakishamaliza kuzika wakati Wa kurudi kama ni Arusha lazima coaster itie timu pale.
Naona avatar za wanaume za kupromote lips zimekuwa nyingi!Naona nyuzi za kupromote kitimoto zimekuwa nyingi
Unaweza...Kwani ukienda hospitali wakakuomba kinyesi huwa wanaenda kupiga nacho picha?Unaweza kukikagua kinyesi
Pale moshi kiborlon inatengenezwa tamu balaa.
Watu wengi wanaotoka mikoani kwenda kuzika moshi,wakishamaliza kuzika wakati Wa kurudi kama ni Arusha lazima coaster itie timu pale.
Haina haja ya kukaguliwa kwa vile yote haifai; sasa utakagua unaanzia wapi, kwa mfano!??Nauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.
Nyama ya nguruwe ni of high value, haiwez kukaguliwa kama nyama nyingine za kilofa lofaNauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.
Acha tu.huyu mdudu ana mapishi zaidi ya aina kumi hutamkinai kamwe.pale stand ya old moshi sio mkuu
Nikiwa Unguja, huyo mnyama nampata wapi ?Ukiona hivyo ujue inapendwa.
Out of point! Kwamba kinafaa, au? Mbona reasoning yako ni kubwa tu, aisee!???Unaweza...Kwani ukienda hospitali wakakuomba kinyesi huwa wanaenda kupiga nacho picha?
Wewe umeuliza kama unaweza kukagua kinyesi?Namimi nikakujibu unaweza....Tena nikatoa mfano hospitali wanavyopima kinyesi Out of point iko wapi hapo?Out of point! Kwamba kinafaa, au? Mbona reasoning yako ni kubwa tu, aisee!???
Angalia hata umesahau nani aliyekuuliza, aisee? Come down, come down, come down! Nimekwambia mara 3.Wewe umeuliza kama unaweza kukagua kinyesi?Namimi nikakujibu unaweza....Tena nikatoa mfano hospitali wanavyopima kinyesi Out of point iko wapi hapo?
Una uhakika?Nauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.
Sio kweli bro nyama ya kitimoto inakaguliwa kabisa kama umewahi kufika Iringa au ukienda Iringa tembelea machinjio ya nguruwe yapo Kihesa kilolo huko ndo nilishuhudia kwa mara ya kwanza kuona utumbo,kesho,masikio ya kitimoto yakitengenezwa vizuri na kuliwa,ndo huko ambako nilikuta supu ya kitimoto.Aisee kitimoto inakaguliwa na kupigwa ule muhuriNauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.
Nani alikwambia hivyo?Nauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.
Mimi sijali aliyeandika (mtu)..najali najali alichoandika(hoja)Angalia hata umesahau nani aliyekuuliza, aisee? Come down, come down, come down! Nimekwambia mara 3.
Wanakagua jamani!Kitimoto ni nyama takatifu,haipaswi kukaguliwa
Duu hili jibu hatareeUnaweza...Kwani ukienda hospitali wakakuomba kinyesi huwa wanaenda kupiga nacho picha?