Kwanini NSSF wanahitaji 'Bank Statement' ya Mwanachama?

Lengo lao ni kuthibitisha kama kweli ulikuwa unapokea mshahara, pia kuthibitisha kama mshahara uliingiziwa kiasi gani kwa kila mwezi husika maana wakati mwingine mishahara hubadilika kutokana na mazingira mbalimbali.
Kwa hiyo wanachofanya ni kulinganisha kilichopo kwenye payslip kama kinaendana na kwenye bank statement.
Lakini pia wanahitaji kuona statement ili kujiridhisha kwaba umeacha kazi kweli, sio fix. Maana kama umeacha kazi ina maana statement itaacha kusoma salio lao
 
mkuu nafikiri wewe ndio umeropoka.
Ukimlipa mtu pesa mkononi kama anavyolipwa house girl serikali/TRA watawezaje ku monitor malipo ya kodi na NSSF?
TRA anafanyia kazi taarifa unazompa wewe, ikiwa na wasi wasi watakuja kukukagua, na usiombe wakukute na udanganyifu...hawafanyi monitoring ya bank accounts na transactions unazofanya kwenye account zako ama waajiriwa(watakagua accounts zako wakiwa na wasi wasi), kila mwezi kama muajiri unatakiwa u file return ya mishahara uliyolipa na upeleke kodi...ndio maana sasa hivi wanataka uki file hizo return uweke na TIN namba ya mlipa kodi(Muajiriwa)...siyo lazima kupitisha mshahara bank...again acha kuropoka vitu usivyokuwa na uelewa navyo
 
bado sijaridhika na maelezo yako.
Sasa kwa mfano mimi nina wafanyakazi wangu 10,nikaamua 5 kati ya hao nawalipa kwa system na 5 waliobaki nawalipa mkononi kisha naficha records zao.
Hao tra wakija kukagua watajuaje kuwa mimi kwenye kampuni yangu nina wafanyakazi 10?

Kwamba hao 5 waliobaki haupeleki michango yao NSSF?haupeleki WCF?

Tufanye kwa mfano hao 5 unawalipa milioni 10 kwa mwezi, kwa mwaka ni milioni 120, unapoandaa financial statement ya kampuni yako unaficha vipi matumizi ya hizo hela?tufanya unafanikiwa kuficha, wafanyakazi wako wataridhika hawana nssf?
 
Lengo lao ni kuthibitisha kama kweli ulikuwa unapokea mshahara, pia kuthibitisha kama mshahara uliingiziwa kiasi gani kwa kila mwezi husika maana wakati mwingine mishahara hubadilika kutokana na mazingira mbalimbali.
Kwa hiyo wanachofanya ni kulinganisha kilichopo kwenye payslip kama kinaendana na kwenye bank statement.
Mi nadhani ni kutaka kujua tu account yako ya bank watakako kuwekea mafao yako
 
mkuu enzi zile za JK kuna vikampuni vingi tu vya wahindi vilikuwa havipeleki michango ya wafanyakazi.
Alivyoingia magufuli wakapewa masharti ni lazima wafanyakazi wote wapewe mikataba,wafunguliwe akaunti za benki,mishahara yao ikatwe kodi na nssf.
Kuanzia mwaka juzi msisitizo ukatolewa hata kampuni nilizofanyia kazi wale wafanyakazi waliokuwa wanaitwa vibarua wote wamepewa mikataba,wakafunguliwa akaunti,wakaanza kukatwa kodi na nssf.
Hao wafanyakazi ninaokwambia walifanyakazi kwa miaka takribani 10 bila kukatwa kodi,nssf,hadi ilipofika mwaka juzi.
Jiulize kwa nini?japo unaleta ujuaji.
Kwamba hao 5 waliobaki haupeleki michango yao NSSF?haupeleki WCF?

Tufanye kwa mfano hao 5 unawalipa milioni 10 kwa mwezi, kwa mwaka ni milioni 120, unapoandaa financial statement ya kampuni yako unaficha vipi matumizi ya hizo hela?tufanya unafanikiwa kuficha, wafanyakazi wako wataridhika hawana nssf?
 
Naomba kuuliza hivi na hao vibarua ( wanao pewa hela mkononi) mf; wafanyakazi wa viwandani
wanakidhi vigezo vya kukatwa nssf?
Ni lazima wakatwe na mwajiri achangie na ni lazima wakatwe PAYE endapo mshahara ni zaidi ya 270000 kwa mwezi mzima na SDL pia lazima mwajiri achangie...
 
Kuna Process ndefu sana, wanataka Barua, Bank statement, Copy ya vitambulisho, Certificate of Service kutoka kwa mwajiri wako na pia kuna sehemu ya fomu inajazwa na mwajiri wako
Si kweli....hakuna cha certificate of service wala nini pale unaenda na barua ya mwajiri wako(End of contract au Termination letter)
Unapewa form alafu unajaza zinakuwa in tripcate moja inaachwa NSSSF, nyingine unapewa na nyingine inaenda benki nadhani..
 
mkuu enzi zile za JK kuna vikampuni vingi tu vya wahindi vilikuwa havipeleki michango ya wafanyakazi.
Alivyoingia magufuli wakapewa masharti ni lazima wafanyakazi wote wapewe mikataba,wafunguliwe akaunti za benki,mishahara yao ikatwe kodi na nssf.
Kuanzia mwaka juzi msisitizo ukatolewa hata kampuni nilizofanyia kazi wale wafanyakazi waliokuwa wanaitwa vibarua wote wamepewa mikataba,wakafunguliwa akaunti,wakaanza kukatwa kodi na nssf.
Hao wafanyakazi ninaokwambia walifanyakazi kwa miaka takribani 10 bila kukatwa kodi,nssf,hadi ilipofika mwaka juzi.
Jiulize kwa nini?japo unaleta ujuaji.
Sheria ipo wazi, unaweza kuwalipa cash, cheque au direct bank deposit, nj uamuzi wa kampuni/mtu kuamua namna ya kulipa/kulipa
 
Wewe ndo pimbi
Kwa hilo swali nimekuona ni mjinga sana, kungekuwa na namna hapa jf watu wajinga kuwa deleted wewe ungekuwa wa kwanza.
Ni sawa na kuambiwa ili uende chuo kikuu ni lazima uwe na kuanzia Div II, alafu wewe uje uulize je ukiwa na Div I
 
Wewe mwenye akili tueleze vya maana ulivyo fanya nchi hii, pimbi wewe, unaweza kuta unatunzwa na Shemeji yako then unaleta ujuaji humu
Watu wengi ni wajinga mliopitiliza, sijui kwa nini. Na cha ajabu unaweza kabisa kujuta umemaliza degree
 
Mkuu kwani si unaweza fungua account Benki nyingine?
Lakini pia wanahitaji kuona statement ili kujiridhisha kwaba umeacha kazi kweli, sio fix. Maana kama umeacha kazi ina maana statement itaacha kusoma salio lao
 
mfumo sasa unahitaji account iwe active,sasa wale wenye kuandika account dormant miamala hurudishwa tena NSSF.
pili kwenye account wanahitaji kulinganisha majina.kuna watu wana majina tofauti kwenye kitambulisho cha taifa na kitambulisho cha NSSF na majina ya bank.hivyo miamala yao kutopita bank.ni kwa nia njema tu waliyonayo usiogope kupeleka statement ya bank.
NI kweli kabisa. mi ilinibidi nifungue accunt nyingine ili majina yafanane
 
kwahiyo lile swala la mpaka miaka 60 lilifutwa???
 
Mkuu kwani si unaweza fungua account Benki nyingine?
Na mishahara yako uliyokuwa unalipwa (ambayo ndio chanzi cha mafao yako) itaonekanaje kwenye hiyo akaunti mpya man?
 
Back
Top Bottom