Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,373
- 3,586
Kuna mtu aliniambia 30% ya mshahara wako uliokua unalipwa mara mwisho wanakulipa kila mwezi kwa muda wa miezi sita tu,Hahaaaa hawatoi yote now day wanatoa 30% tu
Ni kweli?
Kuna mtu aliniambia 30% ya mshahara wako uliokua unalipwa mara mwisho wanakulipa kila mwezi kwa muda wa miezi sita tu,Hahaaaa hawatoi yote now day wanatoa 30% tu
Na vipi kama ina hela nyingi zaidi ya Milion?
Huo ni utapeli ulianzishwa na NSSF kwa kushirikiana na mabenki kusudi kama ulikuwa na mkopo na hujamaliza wakate juu kwa juu ndio maana wanataka account uliyokuwa unapitishia mshahara kwani wana uhakika lazima benki iliyokukopesha iwe ndiyo ile unayopitishia mshahara wako. Huu ni wizi kwani sheria ya mafao hairuhusu mtu kuingilia mafao yako.
We nae ni mjinga, NSSF wanajua account namba yako ya bank?NI UJINGA NA UBABAISHAJI KABISA MAANA INFO ZANGU ZOTE WANAZO
LABDA WANGEOMBA KOPI YA KADI YA BANKI NINGEWAELEWA
Sio kweli.Wanataka kuhakikisha kama account yako ina hela angalau kuanzia Tsh 7,000/=
Nilimuuliza meneja wa NSSF Arusha kuhusu hili jambo akanijibu hivyo. Kama account yako ya Bank haina hela kabisa au iko pungufu ya 7,000 wanashindwa kukuwekea michango yako kwenye account.
Na inayobaki wanatoa lini?Hahaaaa hawatoi yote now day wanatoa 30% tu
Wewe ndio mjinga manake hujaelewa nini alitaka muuliza swali ..poleKwahiyo wewe hutaki ukatwe mkopo au? lipa mkopo acha ujanja wa kijinga
bora mie nimemaliza degree sio wewe uliyepata cheti lakini kichwa maji matupuWatu wengi ni wajinga mliopitiliza, sijui kwa nini. Na cha ajabu unaweza kabisa kujuta umemaliza degree
Ukweli ni upi?Sio kweli.
Nia ovu kabisa...mafao hayahusiani na mkopo benki! Hukusaini kulipa deni kwa njia ya mafao, wala mafao hukusaini yatakuja kulipa madeni ya benki, hizitaasisi ovyo hizi!Huo ni utapeli ulianzishwa na NSSF kwa kushirikiana na mabenki kusudi kama ulikuwa na mkopo na hujamaliza wakate juu kwa juu ndio maana wanataka account uliyokuwa unapitishia mshahara kwani wana uhakika lazima benki iliyokukopesha iwe ndiyo ile unayopitishia mshahara wako. Huu ni wizi kwani sheria ya mafao hairuhusu mtu kuingilia mafao yako.
Kuna mtu aliniambia 30% ya mshahara wako uliokua unalipwa mara mwisho wanakulipa kila mwezi kwa muda wa miezi sita tu,
Ni kweli?
Acha kuropoka vitu ambavyo huna ufahamnu navyo, mshahara wa mtu unaweza kutoka kwa Cash, Cheque, ama direct deposit bank, hilo lipo wazi kwenye sheriaWaajiriwa wote lazima mishahara ipitie bank. Ukiona mtu anapewa mshahara mkononi ujue huyo ni kibarua tu au deiwaka. Hata hao vibarua kama watakaa kwa muda mrefu hairuhusiwi kuwalipa hela mkononi ni lazima walipwe hela benki.
Acha kuropoka vitu ambavyo huna ufahamnu navyo, mshahara wa mtu unaweza kutoka kwa Cash, Cheque, ama direct deposit bank, hilo lipo wazi kwenye sheria
Uko sahihi aisee. Mambo hayako wazi kabisa. Utafkir biashara ya bange bhana.Hili swala la fao la kukosa ajira linachanganya sana, nina jamaa yangu ambae ajira yake iliisha akaanza kufatilia hela yake nssf ilimchukua miezi nane ya nenda rudi mwisho wa siku alilipwa hela yake yote na kafaida kidogo kama 2% ya fao lake. Ila kuna wengine wanalipwa hiyo 33% kwa miezi sita.
Hapana sidhan Kama Kuna ukwelLengo lao ni kuthibitisha kama kweli ulikuwa unapokea mshahara, pia kuthibitisha kama mshahara uliingiziwa kiasi gani kwa kila mwezi husika maana wakati mwingine mishahara hubadilika kutokana na mazingira mbalimbali.
Kwa hiyo wanachofanya ni kulinganisha kilichopo kwenye payslip kama kinaendana na kwenye bank statement.
Uko sahihi1.Kujua uhai WA account yako
2.Kujiridhisha pasiko Shaka juu ya umiliki WA account ikiwemo majina uliyotumia kusajili, Je yanafanana na majina uliyosajilia NSSSF