Kwanini nitamchagua Magufuli 2015 urais...!

Nawashangaa watanzania wenzangu haswa wenye mawazo mbadala wakilishikilia bango wazo zuri la Mh MAGUFULI la kugawa laptops kwa kila mwalim wa tehama kwa ajili ya kuinua ufundishaji wa somo hilo bila kuangalia aliyoyasema mgombea wa upande wa pili Mh Lowasa. Huyu aliahidi kujenga nyumba kwa kila mtu nyumba ya kisasa ila hili haliongelewi na makuwadi wake.

Pia aliahidi kumfanya kila mtu tajiri kama Rostam na Mengi ila sioni hili watanzania wakilihubiri.

Tuache ushabiki kazi ya ulimi ni kulamba mdomo na sio pua.

1.Watanzania hatutaki kujengewa nyumba maana kutujengea nyumba za kisasa bila chakula na mahitaj ya kutumia ndani ya nyumba hizo.

3. Kila mtu akiwa tajiri nani atamtumikia mwenzie maana hinadam tumeumbwa kuwa na matabaka.

3.Kwa kawaaida kadri tunavyokuwa matajir tutahtaj maskini wa kuwanyonya ili tuwe matajiri. Na Hii haileti mantiki katika uchumi wa rangi yoyote.

Watanzania hatutaki kudanganywa
Waalimu na laptop katika madarasa ya vumbi na asilimia 21 tu ya watanzania wana umeme!!!! Nyumba unaweza kuwa nayo bila umeme lakini laptop kwenye vumbi na waalimu wenyewe komppyuta wanadonoa donoa na wengine hata kuziona bado ...twapoteza muda. Ningeelewa kama atahakikisha kila shule ina umeme kwanza na maji ya kunywa salam halafu hayo mengine yakafuata. Kufundisha wanafunzi wanaoharisha sijui hizo laptop watazijuaje?
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Mkuu upo sawa sana
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri na Makamu wa Rais wa Jamhuri walichukuwa fomu wakitaka kuwania urais wa Jamhuri.

Watu hawa ni watu wakubwa mno katika mamlaka za Jamhuri. Mizengo ni kiongozi wa shuguli za serikali bungeni. Si mtu mdogo.

Mohamed ni Makamu wa Rais, ndiye anayekamata usukani ikiwa Jakaya ataenda ughaibuni. Si mtu mdogo.

Sisi kama raia wa Jamhuri watu hawa wawili: Mizengo na Mohamed ni watu wakubwa mno baad ya Rais wa Jamhuri, Jakaya.

Swali ni kuwa 'kitengo' cha ccm kilitumia vigezo gani 'kuwamwaga' hawa viongozi muhimu wa Jamhuri? Kam kitengo kiliona hawa hawafai, je Jakaya anafaa nini?
 
Ila ufisadi uko palepale. Hivi mbona humzungumzii mwenyekiti wenu wa sasa ambae ndie aliempa amri ya kusaini ile mikataba ya Richmond? Nakushauri; kabla ya kuishabikia ccm, fikiria kwnz mara mbili mbili mkuu

lete ushahidi...we kwa akili yako timamu unaweza ukamchagua anayesema atamfanya kila raia kuwa kama bakhresa...yani mmeona wa bongo mazuzu...
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Kampeni ya Magufuli itakuwa nyepesi sana hasa ikizingatiwa hili fisadi lowasa jukwaani ni ziro kabisa. Tafuteni clips za hao waheshimiwa waliokuwa wanamponda, hasa ya mbowe na lema zitaongeza uzito kiasi. Wasifikiri watanzania wote ni wajinga kama wao.
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Tunahitaji watu wenye msimamo kama wewe hapa Tanzania. Hawa wapumbavu wa UKAWA hawawezi kutuyumbisha na kauli walizokuwa wanazitoa, hata mimi pia msimamo wangu ni mmoja tu, hakuna kumpigia kura Fisadi. Wao walishasema Lowassa ni Fisadi. Tuko pamoja ndugu yangu, kura ni kwa Magufuli.
 
Hao vichaa na viroba wakienda mikutanoni viroba vimejaa kichwani kumbukumbu hawana,si rahisi kwao kukumbuka jambo la wiki iliyopita,hawana uwezo wa kuhoji,yamekaa kama manyumbu. Mr President john Pombe Magufuli my new president. May God bless you
 
Waalimu na laptop katika madarasa ya vumbi na asilimia 21 tu ya watanzania wana umeme!!!! Nyumba unaweza kuwa nayo bila umeme lakini laptop kwenye vumbi na waalimu wenyewe komppyuta wanadonoa donoa na wengine hata kuziona bado ...twapoteza muda. Ningeelewa kama atahakikisha kila shule ina umeme kwanza na maji ya kunywa salam halafu hayo mengine yakafuata. Kufundisha wanafunzi wanaoharisha sijui hizo laptop watazijuaje?
Huo ni uzushi kubwa sana. Magufuli hajawahi kutoa kauli kama hiyo kamwe
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
11987088_739486642861851_3730764715646925318_n.jpg
 
Back
Top Bottom