Kwanini nitamchagua Magufuli 2015 urais...!

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
537
347
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
 
swala sio Lowassa swala ni CCM imefika kikomo,Magufuli ni mpangilio huo huo-anything even the devil will do-our neighbours are marching forward sisi tuko stagnant au marching backwards-watoto wetu wanasoma chini ya miembe,mama zetu wanakufa wakati wa kuzaa WHY??? a change of direction is called for
 
Vipi umesahau kuandika harasa ya mabilioni katika wizara ya ujenzi na uuzwaji wa nyumba za serikali
 
Magufuri akigombea act au ppt maendeleo ya mziray nampa kura ila akigombea kupitia ccm hata awe malaika simpi kura,hapa hatupingi mtu, tunapinga chama anachogombea kupitia.

Ccm kwa miaka 54 imeshindwa kuleta maendeleo licha ya rasilimali lukuki tulizonazo kuliko nchi yoyote afrika lakini bado tunaogelea kwenye dimbi la umasikini, maendeleo yuliyonayo pamoja na rsilimali zetu na miaka ya uhuru ni sawa na sudan kusini iliyopata uhuru wake miaka 3 iliuopita.

Ccm ni wakala wa shetani hapa tanzania, kazi ya shetani ni kuiba,kuharibu na kuua, hayo yote yamefanywa na ccm,imeharibu uchumi na rasilimali,imeharibu maisha ya watu,imeharibu malengo ya watu, omeiba rasilimali za taifa na imeua uchumi completely. Ccm ni shetani.
 
ikulu akiingia mwizi, itakua msoto mwingine tena kwa miaka 5...siwezi fanya kosa la kumchagua fisadi huku najua ni fisadi...Magufuli kachukua kura yangu mengine namuachia Godi..
 
  • Thanks
Reactions: CK
Inabidi wataalam wa jamiiforums watuwekee kale kanembo ka kudislike maana haya mabandiko mengine hutakiwi hata kuhangaika nayo, unagonga tu dislike unaendelea na shughuli nyingine..
 
Nawashangaa watanzania wenzangu haswa wenye mawazo mbadala wakilishikilia bango wazo zuri la Mh MAGUFULI la kugawa laptops kwa kila mwalim wa tehama kwa ajili ya kuinua ufundishaji wa somo hilo bila kuangalia aliyoyasema mgombea wa upande wa pili Mh Lowasa. Huyu aliahidi kujenga nyumba kwa kila mtu nyumba ya kisasa ila hili haliongelewi na makuwadi wake.

Pia aliahidi kumfanya kila mtu tajiri kama Rostam na Mengi ila sioni hili watanzania wakilihubiri.

Tuache ushabiki kazi ya ulimi ni kulamba mdomo na sio pua.

1.Watanzania hatutaki kujengewa nyumba maana kutujengea nyumba za kisasa bila chakula na mahitaj ya kutumia ndani ya nyumba hizo.

3. Kila mtu akiwa tajiri nani atamtumikia mwenzie maana hinadam tumeumbwa kuwa na matabaka.

3.Kwa kawaaida kadri tunavyokuwa matajir tutahtaj maskini wa kuwanyonya ili tuwe matajiri. Na Hii haileti mantiki katika uchumi wa rangi yoyote.

Watanzania hatutaki kudanganywa
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI: A. Magufuli hakwepi kodi Lowasa anakwepa kodi Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90% Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90% B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA. Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba. Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa. Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Kazi ipo mwaka huu.
 
ikulu akiingia mwizi, itakua msoto mwingine tena kwa miaka 5...siwezi fanya kosa la kumchagua fisadi huku najua ni fisadi...Magufuli kachukua kura yangu mengine namuachia Godi..
Kwani maghufuli yeye si fisadi? Ongea kwa evidence mkuu. You can't fool everybody
 
ikulu akiingia mwizi, itakua msoto mwingine tena kwa miaka 5...siwezi fanya kosa la kumchagua fisadi huku najua ni fisadi...Magufuli kachukua kura yangu mengine namuachia Godi..

Waliopo sasa sio wezi?
 
swala sio Lowassa swala ni CCM imefika kikomo,Magufuli ni mpangilio huo huo-anything even the devil will do-our neighbours are marching forward sisi tuko stagnant au marching backwards-watoto wetu wanasoma chini ya miembe,mama zetu wanakufa wakati wa kuzaa WHY??? a change of direction is called for

Umeme wa mgao mie kura yangu kwa lowassa.
 
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%

B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.

Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa

CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.

Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe

NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema

Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.

Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika

Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?

Nani asiye mwizi ndani ya ccm?
 
ikulu akiingia mwizi, itakua msoto mwingine tena kwa miaka 5...siwezi fanya kosa la kumchagua fisadi huku najua ni fisadi...Magufuli kachukua kura yangu mengine namuachia Godi..
Mungu akujalie hekima Zaidi, Majufuli anesimamia eneo lake vizuri tu ndani ya CCM Mbovu! Akipewa nchi Atainyoosha!!
 
Back
Top Bottom