Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

mimi nilikuwa simtetei tatizo ni nyinyi mnapinga kila kitu..na niliwashangaa sana hadi mkanitukana ,lakini hamna shida wachaga ndivyo mlivyo

suala la uchaga limekujaje hapa?

Did u catch my points siku ile? Je nilikuwa napinga kila kitu?
Willy alshndwa kujibu maswali ya msingi na hata alpojarbu hakutoa majawabu bali majibu.
 

HILI JIBU LINANIKUMBUSHA RAIS WENU KIKWETE ALIULIZWA HUKO KWA WAZUNGU KUWA KWA NINI AFRIKA NI MASKINI..."""aKASIMAMA KWA MBWEMBWE AKASHIKA MAIKI NA KUJIBU ..EEEEH AFRIKA SISI NI MASKINI KWA SABABU HATUNA PESA'''''
 
suala la uchaga limekujaje hapa?

Did u catch my points siku ile? Je nilikuwa napinga kila kitu?
Willy alshndwa kujibu maswali ya msingi na hata alpojarbu hakutoa majawabu bali majibu.
OK kaka huyu jamaa inajibu ajibu maswali yetu ya msingi hapa naona anayakimbia.tusipokuwa makini watauza mlima wetu aisee.na kuruhhusu mikenye iingie pande zetu freely, si unaona jamaa linadai eti inatakiwa free movoment of people huyu katoka kwao mtera hawajui wakenye huyu anaongea ongea tu free hapa ..wakenye sio watu kama hajui.
 
William is better than others sababu at least anaweza hata kufundwa na wana JF au hata kujua watu wanataka nini! tumuunge Mkono jamani,hivi hao wengine mnajua wanaenda kufanya nini? William you are very better than others I hope ukipata utandelea kuwepo JF ili tuendelee kupeana mawazo kwakuwa wengine hatuna hata jinsi ya kuwaambia yanayo tukasilisha!
 
wewe umejuaje? toa mifano na unataka nani awe mbunge wa EAC?

Mifano gan unataka sasa wakati we mwenyewe umeona jinsi alvyo dhaifu humu JF.
Je unadhan ni vp ataenda kutuwakilish wakat tayar uwezo wake ni mdogo?

Willy haijui Tz na EAC vizuri(hajawah kuish ukanda huu kwa takribani muongo mmoja na zaidi) ni vp utatetea usichokijua?

Hajui ni changamoto gan tz inazpata kwa ujumla katika jumuiya ya africa mashariki.

Hata suala lake la kuunga mkono common visa linaonesha jinsi asivyo na fikra chanya na endelevu.

Je kwa kiwango chake unadhani atawezaje kwenda ku compete na wabunge wengne wa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi katika masuala ya mipaka na uchumi wa Tanzania?

Ni hasara kwa taifa.
 

- My Bro we chose to join the EAC so now we need to work towards eliminating Fears, we need to work hard and find a way to balance our economic stand with other EAC members using the best asset in our disposal, I mean our land!

- How do you join the EAC and later claim that you want nothing to do with the EAC Viza, I am reading you right? I mean we need one Viza for EAC in order to Micro-economy, our people must free to move around so that with open policies on trade they can sell and buy products from point one to point B without interruptions, understand that sometimes the markets requires guarantee of movement of the people and security for their products and their lives.

- I do not believe in fear minded policies which you seem to preach and believe in!

William.
 
- I am here to present my case for why I am running for EAC Assembly, not anything else and will do it on my time and terms not yours!


William.

Haya ndio mambo ya kimagamba tusiyoyataka, Unapokumbana na hoja ama maswali yakupasa kuyatranslate maswali hayo katika hoja (case zako/in your persipective). Haya twambie WHAT IS YOUR CASE SIR?
 
sasa hapa kaka ndio umeshuka nondo, na nakuelewa na hata williama anakuelewa , siku ile sijui kwa nini mlinitukana. anyway forget let go tumkome nyan.

huyu william definetly hawezi kusimama na wabunge wa kenya wale jamaa ni wajanja sana na wanafiki kupita kiasi.and iam sure willium dont know this any he know nothing about them.
lakini swali linakuja hakuna mbadala wa willium inabidi tumfunde kwanza humu na inabidi leo leo abadili mawazo yako na asikubaliane na common visa .kama anataka kujuua ni kwa nini aseme na tumpe nondo leo leo bila kuchelewesha.
 
Muswanu W. Chigwiyemisi
 

Haha haha ha haa aaa!
Kwa hiyo Division IV ndio unaona ni Division ya kutambia humu JF na kule EAC. Yani wewe huna tofauti na Livingstone Lusinde na Lameki Airo. Muulize Nassari uone alipata ngapi na ujilinganishe na wewe.

Alafu Mungu Bwana ni Mwema sana. Watoto wote wa Vigogo siku zote wanaambulia Division IV na Zero. Nape Div IV, William Div IV, Mwanaasha Div IV, nk.
 
Mkuu hujanipa maelezo kuhusu swali langu linalohusu AJIRA in EAC...

Kama unachagua maswali ya kujibu, tena yale yanahusu characters and personalities halafu unaacha yale yanayohusu kazi utakayofanya kama mbunge unazidi kutuaminisha kuwa wewe ni kilaza unayetafuta better job kwa mgongo wa JF kwa kuwa hakuna ulicho achieve katika maisha yako
 

Atafundwaje wakati haamini kabisa kama yeye anakosea?

Kila anaemkosoa yeye anasema ni wivu na chuki....
 

- Well, I am not worried at all with your rants, I am in I mean big league politics as I had promised while I was in US that I will soon join them and now I am in, I mean I never heard before that to be a good EAC MP you must have lived near Arusha for a decade, REALLY? Daaaaaamn!

William.
 

futa kwanza hio undelinede..we c=have to protect our country and our country is not land only
tukija kwenye common visa naona hujui chochote labda hii makala itakusaidia isome bila uvivu then come with the solutions from this uzi. na suala la fear woga na maneno mengine ya ajabu achana nayo ..tema cheche
 

- Well, I am division 4 if that is a failed grade then you have a point, remember what I said early I am not here to fake all bullshit, this is me and that is my Education!

William.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…