Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

- Naah! maan I paid for my education in Europe na US, sure did not pay here in Tanzania cause under Awamu ya kwanza, education was free for all Tanzanians, I want to believe you be civilized enough to apologize for this!

William.

Akher uandke kishwahli kuliko hayo. Unazd kudhihisha udhaifu wako
 
Tatizo lenu mnajisahau sana kwenye posho mpaka hata vichaa wanashinda kwenye majimbo yenu Kama mtera . Wewe ulivyozoea anasa za ulaya sijui hata Kama hiyo posho itakutosha
 
Wewe andika kiswahili tu, unazidi kujiaibisha.

- Will stick with english! ha! ha! ha! ha! I mean if you a PhD holder can spend all of your time to follow me to my wife and kids, here at JF it means there is something good in me that drives you nuts and now my English is a problem to you but not to others, it tells a lot about you and you! ha! ha! ha! ha! keep it up bro, this is me and this is my English too bad that I am not you or have a PhD in English like you and have a great academic job as the one you have! ha! ha! ha1 ha!

William.
 

- I am here to present my case for why I am running for EAC Assembly, not anything else and will do it on my time and terms not yours!


William.
 
ndg Wily,

kwanza nakupa pongezi kwa kujitolea! Naamini Mungu yupo upande wako kama ni kweli umejitoa kwaajili ya nchi yako.

Ndg, tumeona vijana wenzetu wengi wakishika madaraka na kupotea kimaadili. Sio hapo tu bali kutufanya vijana wote tuonekane wababaishaji.

Napenda kukuambia kwamba vijana tunaweza badilisha nchi kama tunataka. Please husiwe mtu wa kutaka kuongeza ulicho nayo..

One love bro
'unijui, sikujui'
 
kiburi ndicho kinachoiponza na kuiangusha ccm......... Kwa jinsi ulivyojibu inaonyesha wewe ni zao
lile lile.....
Na kama ulikuwa hutaki maswali ulianzisha thread ya nini?

- I am here to present my case for why I am running for EAC Assembly, not anything else and will do it on my time and terms not yours!


William.
 
Thanks kwa kuwa mkweli...

Twende kwenye ajira, unasapoti watanzania kuweka employment barriers zinazozuia free movement of labor na matokeo yake watanzania wengi hawafanyi kazi kwa bidii, wazembe na hawawajibiki ila wa kwanza kulalamika mishahara ikichelewa with their Lazy-But-Know-it-all-attitude AU unasapoti free movement of labor itakayotuwezesha kushindana na the best in the region ili na sisi tuweze kuwa washindani hapa EA. Kumbuka to be the best you have to beat the best. What is your stand?
 

Comprehension ndogo.

Kukufuatilia hakumaanishi "there is something good in you". Tatizo ego kubwa kuliko ubongo.

Watu wakifuatilia uongozi wa nchi na jinis watu wanavyochaguliwa unaona wanakufuatilia wewe.

Mie sijaleta habari ya kiingereza hapa, wewe mwenyewe umesema kwamba unaandika kiingereza ili watu wajue huna matatizo na kiingereza, lugha ya mawasiliano huko bungeni.

Sasa naona unakubali kiingereza chako mgogoro na hivyo majigambo yako ya kwanza hayakuwa na msingi.

Kuna vingine vingapi unavyojigamba bila msingi?
 
- I am here to present my case for why I am running for EAC Assembly, not anything else and will do it on my time and terms not yours!


William.

what is your case? wacha kuleta jeuri na kujisifia bila sababu za mcng hapa.
 

Upepo wa bahari umem dhuru sana.. Ni hasara kwa taifa endapo litawakilishwa na watu wenye upeo mdogo na dhaifu kama huyo jamaa.
 
what the hell is this???
 

William

Tafadhali tuhurumie tunaokusoma kwa kuandika mawazo yako kwa Kiswahili, huongei "English well," na nnadhani hilo linakuzuwia wewe kujieleza vizuri.

Haijalishi kama ulikaa miaka 23@NYC, tutakuelewa kwa sababu Kiingereza ni lugha yako ya tatu au ya nne pengine, zungumza tu Kiswahili tuelewane vizuri

Taifa kwanza mkuu, ego baadae
 
Observation ya tinker taylor ni nzuri sana lakini naona baharia ameamua kuipotezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…