Kwanini nikilala na demu wa nje magoli yanaongezeka kuliko kwa wife?

ulikua umezoea mboga moja mkuu sasa unabadili "kipya kinyemi'
 
Chief wewe uko katika kitu kinachoitwa sex rut. Ile hamasa ya tendo kwako na mwenza wako imekwishapotea.

Over time hata huko nje utakumbwa na hili swala. Hili tatizo liko kwenye akili zaidi lakini likiwa linasukumwa na mazingira ya nje.

Jitahidi kuyamodify mazingira yaendane na vile ambavyo wote mtakua aroused (siyo process ya siku moja).

Ingia hospital au kwa psychologist kwa msaada zaidi.
 
'Kilicho ndani huwa hakithaminiki sana kama kile kisichokuwepo ndani' naamini sana katika falsafa hii
 
Badilisha style na badikisha uelekeo kitanda,taa za ndani pia,ikishindakana nendeni hotelini,au kwy gari km mnageti na kuna private mambo yatabadilika
 
Hawa watu wakishaingia ndani tu nasikia ni kosa hawajitumi tena wala hawataki kubinuka ila mchepuko unajipakulia mwenyewe hamna sijui kiuno chauma wala cha nn.

Kwa hiyo kuchepuka raha sana
 
Back
Top Bottom