Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
wahaya ni brand ya majivuno
wachaga ni brand ya biashara
wakurya ni brand ya ukakamavu
Milioni moja ni hela ya chai.
wahaya ni brand ya majivuno
wachaga ni brand ya biashara
wakurya ni brand ya ukakamavu
Milioni moja ni hela ya chai.
wahaya ni brand ya majivuno
wachaga ni brand ya biashara
wakurya ni brand ya ukakamavu
Kweli kabsa ndio maana nakufuatiria sn ww haya heb ni pm ili nikupe namba unitumie hiyo profile yako
Kwenye matangazo ya kibiashara, hutumika lafudhi za kihaya,kichaga na kikurya kwa kiasi kikubwa. Kwanini? Wenye uelewa wa jambo hili watufahamishe tusioelewa. Ndooroooooooooooooooooooobo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
wewe ni demu au ?
Ni yule mkali wako wa kila dem wako
sorry wanaume wenzangu situmii nakula nyama laini
hivi kwani wewe ni mtu wa pwani ?
wahaya ni brand ya majivuno
wachaga ni brand ya biashara
wakurya ni brand ya ukakamavu
kwani wamasai wameachwa siku hizi?
makabila makubwa hayo aisee! ila hayajawahi toa rais wa nchi.
hawana kiki siku hizi wanavaa hadi chupi
wahaya ni brand ya majivuno
wachaga ni brand ya biashara
wakurya ni brand ya ukakamavu
Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Mwl. JK Nyerere ni mkurya.
Mkuu,Mwalimu alikuwa mzanaki na si mkurya.👍
Mbona Wahaya lugha yao imefanana na Waluhya wa Kenya yet Waluhya hawana majivuno?