Kwanini ni nadra kukuta wasabato matajiri?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,646
Wasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran.

Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi?

Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?
 
Wasabato ni cult siyo dhehebu la dini. Uliona wapi watu wanasali Jumamosi?
 
Kila mtu akiwa dini flani huziona dini nyingine ni cult, waroma tunawashangaa kubusu na kupigia magoti masanamu, walokole tunawashangaa wachungaji kuigiza miujiza na kutajirika kwa sadaka, walitheran tunawashangaa kuruhusu wanawake kusalisha, n.k.
 
Kila mtu akiwa dini flani huziona dini nyingine ni cult, waroma tunawashangaa kubusu misalaba, walokole tunawashangaa wachungaji kutajirika kwa sadaka za waumini, walitheran tunawashangaa kuruhusu wanawake kusalisha, n.k.
Anglican napo 🤔
 
Wasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran.

Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi?

Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?
Sio watu wa maonesho.

Ila wanamiliki migodi
 
Back
Top Bottom