Kwanini ni nadra kukuta wasabato matajiri?

Wakerewe ni Wakatoloki wengi, Wajita ndio kuna Wasabato wengi, Wanyantunzu na Wajaluo haya ndio makabila yenye wasabato wengi kanda ya Ziwa
Asante kwa taarifa. Sisi watu wa huku tunaona Kama wakerewe, wajita na wa ikizu ni wale wale TU.
 
Tatizo wabishi, Ijumaa na Jmosi hawafanyi kazi huo utajiri wataupataje
 
Kuna uwezekano mkubwa Mr Steve akawa msabato. Ina maana kama Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wake wa chama Kitaifa kama atafanya ziara tuseme pale Bunds jumamosi Mr Steve (Echikaka) hata hudhuria?
Alivyo na njaa,hawezi kuacha kuhudhuria.
 
Wakerewe ni Wakatoloki wengi, Wajita ndio kuna Wasabato wengi, Wanyantunzu na Wajaluo haya ndio makabila yenye wasabato wengi kanda ya Ziwa
Hakuna kabila la Wanyantuzu naona kukuelewesha hiyo ni jamii tu ya Wasukuma haswa
 
Ukiwa fukara hao matajiri wa kisabato utakutana nao vipi...kua tajiri utakutana na kila mtu tajiri kutoka katika kila kabila na kila dhehebu.
 
Aseeh Ila ukristo una madhehebu oyaah plus ministry khaa
Ato mazeebu yanatofautiana imani lakin aya makanisa ya kilokolo yanachafua sanaa din ya ukristo sijui hata yametokea wapi hata imani yao sijui ni ipii 🙌🙌 lakin vile vile hata Islamic nao wana madheebu mengi ukifatilia utayajua mfano mim hapa mahali nnapoishi kunamsikiti mmoja hawaingiagi waumin wengi hata rafik zangu waislam wapo jirani na uo msikiti sjawai waona wakiingia kusali kwenye uo msikiti lkn tofauti zao ni imani tu na kinachowafanya wawe wote islamic ni wanamuani mtume wote
 
Aseeh ni htree sana
 
Back
Top Bottom