Mkatoliki yule na magari yake yote yalikuwa yameandikwa majina ya watakatifuNafikiri mzee Zakaria yule tajiri wa mabasi aliyewapiga risasi wasiojulikana enzi za Jiwe ni Msabato.
Unamjua Gachuma? Nenda kandanya ziwa wapo kibao, matajiri almost wote wa mkoa wa Mara wengi ni wasabato mzee. Tembea uoneWasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran.
Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi?
Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?
HAPANA ,HAPANA YULE NI MKATOLIKI PURENafikiri mzee Zakaria yule tajiri wa mabasi aliyewapiga risasi wasiojulikana enzi za Jiwe ni Msabato.
Mkatoliki kila Jumapili yupo Kanisani Pale Tarime mjiniNafikiri mzee Zakaria yule tajiri wa mabasi aliyewapiga risasi wasiojulikana enzi za Jiwe ni Msabato.
Mzee acha kamba basiWameziba mianya ya upigaji,kila Senti inatumika ipasavyo yaani wamenyooka kama rula tofauti na madhehebu mengine ambayo wao upigaji wa pesa za "waamini" ni sifa tukuka,ndio maana huwezi shangaa kukuta
Padre wa RC anamiliki hekari za kutosha ndani ya manispaa ya tabora keep left ya urambo kwenye soko la miwa tena amezungushia na fence ya takribani km 15,mpaka unajiuliza huyu mchunga kondoo wa bwana pesa ametoa wapi !!?
ingia youtube search > msiba gachumaUnamjua Gachuma? Nenda kandanya ziwa wapo kibao, matajiri almost wote wa mkoa wa Mara wengi ni wasabato mzee. Tembea uone
🤣🤣🤣🤣 Si ndio nilitaka nifikirie kukuacha!!Matajiri mbona tupo wengi, mwambie mleta mada aache wenge😅😅
Biblia imeandikwa na Roman Catholic, Ukristo pia uneanzishwa na RC, wengine wote ni "wana wapotevu"Kila mtu akiwa dini flani huziona dini nyingine ni cult, waroma tunawashangaa kubusu na kupigia magoti masanamu, walokole tunawashangaa wachungaji kuigiza miujiza na kutajirika kwa sadaka, walitheran tunawashangaa kuruhusu wanawake kusalisha, n.k.
Wakerewe ni Wakatoloki wengi, Wajita ndio kuna Wasabato wengi, Wanyantunzu na Wajaluo haya ndio makabila yenye wasabato wengi kanda ya ZiwaWasabato wengi ni wakerewe na wapare.
Sasa tangu lini uliona tajiri wa kipare?