Kwanini ni lazima nioe?

Kunguni unajisagia mwenyewe ujanani kwa tamaa zisizo na msingi ndomana mnakufa mapema
Ndio maana tuahimiza vijana watafute maisha ikishindikana kuyapata hapa bongo wasiogope wavuke mapaka ughaibuni , wasiyachukulie mapenzi ya sasa serious sana ,mpka kushindwa kutimiza ndoto zao , vijana wengi wanaopambana ili kuridhisha wapenz wao wengi wanapigwa na vitu vizito.
 
Oya nitoe kwenye mada yako kudadeki..una uhakika mi na daudi hatukufunga ndoa. Ulikuwepo??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] (just kidding,acha visingizio oa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtume Paulo kwenye Waraka wake kwa Wakorintho anasema, "anatamani wanaume tusioe, ila kwasababu ya tamaa za kimwli basi kila mwanaume na aoe mke wake mwenyewe".

Kwahiyo its either usioe kabisa na usifanye mapenzi milele hadi ufe, au uoe mke wako mmoja.

Mengine yote ni uzinzi ambao ni dhambi.
 
Waafrika ndio wenye tabia ya kushawishi au kulazimisha ndoa kwa watoto wao

Utasikia tu Utaoa lini? Au Utaolewa lini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…