Umegusa mambo nyingi. Ngono kwanza siyo dhambi, isipokuwa pale unapozini (ngono na mke au mme wa mwenziyo). Halafu kuhusu wanyama; ngono kwao siyo dhambi kwavile Mungu anakusudia uchaguzi wa mema na mabaya ni wa kibinadamu. Mnyama hajui jema na baya.
nani kakuambia kuwa na watoto ni lazima?pili ambao hawazai we ndo huwa unawazalisha au unazini nao? wawili hukutana kuleta kizazi huo ndo mfumo,ila tamaa za kiibilisi za kulala kila mwanamke kama mnyama is owkward period
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?
Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?
Tujadili kama great thinkers wadau!
hivi kitabu kimoja kimeandikwa chote na mtu mmoja 567 AD afterchrist baada ya yesu kuzaliwa huku biblia au torah ilikuwepo kitambo , mtu ambaye kaoa mwanamke sawa na mamayake we unadhani kitasema ukweli?
unapima usahihi wa maandiko kwa umri wa kitabu? Biblia ni kitabu cha mungu gani?alimpatia nani? Sio stori stori tu za kuunga zingne zikiandkwa na watu waliohadithiwa? Hakuna torah dunia hii,torah walichoma moto wahuni zote siku za nyuma,imebak kumbukumbu ya torah tu..yaan stori stori tu,unadhan alieoa mzee na alieoa kicheche nani ana utulivu wa nafsi?
tatizo sio usahi wa kitabu na miaka ni wakati gani matendo yalitendeka na maandiko kuwepo au la,biblia sio kitabu niujumbe wa kiroho katika mfumo wa maandishi na una maana ndani ya maana ,bible imeandikwa na wenyehekima,wafalme,wavuvi n.k na inakilakitu kilichopo na kinachokuja na kukiishi,hivi aliye lala na mamayake na ambaye hakulala na yeyote yupi mtakatifu?aliyekuwa anafanya miujiza na ambaye alikuwa hafanyi yupi mtakatifu?aliyesema mpende jirani yako kama nafsi yako na yule aliyesema ua ambaye hamwamini alah yupi mtakatifu?kulala na mtu sawa na mama yako ni laana na si suna as you call it lost traveller
mama ni nani? Maajabu hata mwanamalundi alitembea juu ya maji? Maajabu ni kwa wazito wa kufikiri ambo hawaelewi bila mifano,mwenye akili timamu hupima kauli tu na huelewa,unadhan kutolala na mwanamke ni utakatifu au utimilifu? Huoni kama ni upungufu? Vile via vya uzazi ni vya nini? Kaangalie the passion umuone jamaa na maria magdalena wanafanya nini,baada ya yote kitabu cha yesu sio biblia,na hata hao walioandika injili wameandka wakat mwenyewe hayupo,unatamba na stori za kina shigongo wa kale tu!
kama umeshindwa kunielewa sijui nikusaidiaje,kwahiyo mabubu unawapimaje?mi nadhani unatatizo au psycopath eti kauli na wasionazo?kutembea juu ya maji naweza hata mimi through power of will ila kufufua kitu njo utoe mfano hapa maana unashabikia ambacho hukielewi ,passion of christ ni acting conduct ya freemasons ila bible sio kitabu na kama huamini kisome kwa kutumia hypothetical thinking
Watu wanapenda majibu rahisi. Hakuna jibu rahisi.
Binadamu alivyoanza kuwa kama tumjuavyo leo, nafikiri hakuwa tofauti sana na wanyama wengine, as far as sex is concerned.
Lakini kwakuwa Binadamu ame develop intelligence, akaweza kutangatanga, kubuni vitu, kugundua na kuelezea vitu, ilifika point akawa anaelewa kitendo hichi cha Ajabu, chenye uwezo wa kuleta uhai na kuburudisha.
Muda ulienda, population Zinakua na kutengana ... .lazima kuwe na system ya kucontrol watu.....taboos zikatokea.... Traditions zikatokea.... Dini zikatokea...
mtoto anazaliwa anakua, kakuta watu wanaishi wawili wawili , na yeye akatafutiwa mke/mume anaendeleza....
Baadae ikaonekana wanawake wengi kuliko wanaume, ikabidi mvulana apewe msichana zaidi ya mmoja.
Zingine sheria za asili lakini inawezekana walifanya tu. mf.huwezi Kazaa na mzazi wako... Lakini incest ilikuwepo sana tu. Hadi badae walipogundua si salama. Basi ngono na Dada yako ni Kosa.
Baadae kwakuwa ni kiumbe kilichodevelop Ubongo hivyo Ana complex emotions.... akajigundua ni kiumbe mwenye wivu..... Labda ilitokea wavulana wanagombania wasichana sana......concept ya kila mtu na mmoja ikadevelop.
kuleta order kwenye society itabidi tu kucontrol watu. population kama wa Israeli waliobuni miji, system za uongozi, wakabuni maandishi/records. Ngono inaplay part kubwa sana hasa kwakuwa uliofanywa zaidi kwa ajili ya kuzaa. Ikawekwa sheria ili tujue Nani Kazaa na Nani, wapi, wanafanya shughuli gani.
Muda umeenda ndo imekuwa sheria sasa.
Lakini binadamu wa leo na Hali ya leo si kama miaka 6,000 iliyopita.
Leo kuna uzazi wa mpango.
Leo tuna uelewa mkubwa na matibabu ya magonjwa ya zinaa.
Leo mwanamke anaweza kuzaa akatunza mtoto peke yake sio. Hajafungwa kiuchumi.
Leo tunajua hata mwanamke hufurahia ngono.
Leo tuna uhuru wa kumchagua tumtakaye.
Leo watu wana Question tamaduni. Hawazifwati kama vipofu.
Leo hawana uoga wa tamaduni. Wakiamua haina maana hawafuati.
Nakubaliana na farajamilele. Dhambi ni makubaliano ya jamii. Tunaelekea tulikotoka
utakua mlokole tu,manake unatangatanga kwenye hoja zako zilezile,mara kalala na mama yake,mara maajabu,kumbuka hili..wapenda maajabu wote ni wavivu wa kufikir,bubu ni binadam ambae hajatimia,binadam alietimia hunena,ana ashki,nabii ibrahim alifufua..naamin hoja yako ya tofaut kubwa ya umri kati ya wanandoa imekufa,sababu umekumbuka pengne babu yako mzaa babu alioa binti mwenye umri sawa na mwanae
vipi kwetu tunaoruhusiwa Kuwa na wake Saba? wote ni mwili mmoja na Mimi au ndio one network?
b
binadamu ni binadamu inamaanisha nikiamua kutoongea maisha sijakamilika weka masihara pembeni au nipe sababu ya msingi ya binadamu aliyekamilika na utofautishe na ambaye hajakamilika?chai iwe yamoto au baridi ni chai na mpaka uilewe ni lazima uionje period kingine mwanaume kuwa overage ni sawa maana hawa alitokea ubavuni kama msaidizi sio msaidizi amzidi master wake hiyo haileti logic
unadhan kuzidiwa umri ni udhalili?..master shart amzid umri alie chini yake?..uamue kukaa kimya milele!!..hivi unafikiri kwa kutumia nini wewe!?..shule ulienda kufanya nini?!