Kwanini ndege ya Malyasia ishindwe kupatikana....?????

Kwanini ndege ya Malyasia ishindwe kupatikana....?????

jibu ni rahisi kuna kitu kinaitwa degertuary box ndani ya ndege ukiharibu kibox hiko utakua umeharibua kila kitu kwenye ndege maana hawataweza kuona kiwanja wala kujua wapo wapi wala kushuka chini au kupanda zaidi ya kuzunguka tu angani hadi mafuta yaishe ndege idondoke na hata ikidondoka haiwezi kuonekana na kifaa chochote kile labda mavo tu

Mkuu, ndo kusema ipo bottomless?
 
Kwan humu ndani j.f hakuna marubani watueleze kinagaubaga.
 
Wewe nawe una matatizo ya problem, nani alikuambia kuwa ilwent down? Afadhali ungesema iligo down hapo ningekuelewa
hahahaha si ni pasiti tensi zote au ili na went hahaha ndo hivyo kwa sasa wamechange tena searching areami,imehamia karibu na coast ya pwani ya australia,kumbe wanasayansi nayo inadanganya,maana walikospot mwanzo ni mbali sana na pa sasa,na ziwezi shangaa kama wanaserch a wrong place
 
Hiyo ndege kama siyo siasa zinazotusumbua basi nadhani somewhere there is an ALLIEN ABDUCTION ZONE/AREA, possibly like the presumed BERMUDA TRIANGLE. We therefore need to do some sort of mapping, to earmark as well as locate it!
 
jibu ni rahisi kuna kitu kinaitwa degertuary box ndani ya ndege ukiharibu kibox hiko utakua umeharibua kila kitu kwenye ndege maana hawataweza kuona kiwanja wala kujua wapo wapi wala kushuka chini au kupanda zaidi ya kuzunguka tu angani hadi mafuta yaishe ndege idondoke na hata ikidondoka haiwezi kuonekana na kifaa chochote kile labda mavo tu

hiko kibox kinakalia wap kwenye ndege??maana mtu wa kawaida kuki-access si rahis mdau,je kipo kwa rubani??kipo kwenye mabawa???,kipo kwenye inji???kipo kwenye tumbo la ndege???kipo wapi??kinafikiwaje kwa urahis hiko kibox
 
Jamani kwa dunia ya sasa ilipo ,kwa sayansi iliyofanikiwa kutoa matokeo mazuri duniani ,MI NIMESHINDWA KUAMINI KAMA NI KWELI NDEGE IMESHINDIKANA KUPATIKANA AU KUNA HILA ZINGINE.......?[/QUOTE]
Ni hila tupu bro. Hata kama imetumbukia baharini (eti sehemu ya kusini ya mbali ya Bahari ya Hindi) black box ingekuwa inatuma mawasiliano au vigae vya hiyo ndege vingeonekana.Kuna mpango mahsusi ulioandaliwa na wajanja kuipoka hiyo ndege kwa matumizi yao!
 
ndege ilitua salama kwenye kisiwa kimoja kilichopo katikati ya bahari ya hindi. Kisiwa kina kambi kubwa ya majeshi ya marekani na kina uwanja wa ndege mkuwa wenye lane ya kuweza kutua boeing au airbus ya ukubwa wowote. Sababu:kwenye ile ndege kuna wanasayansi wakubwa wa kichina 8 na wa kimalaysia 12 waajiriwa wa kampuni ya Freelance Semiconductor ya marekani ambao walikua na ujuzi wa siri wa kuweza kuvipoteza na kuvichanganya vyombo aina zote vya anga. Walikua wanatoka malaysia kwenye majaribio yao flani na inasemekana walikua wanaenda China kuvujisha/kuuza tech hiyo. Us walistukia deal waka cheza mchezo wote tuuonao. Ndio maana hatutokaa tukaona mabaki ya ndege,nguo,binadamu,viti wala nini wakati vitu hivyo huwa lazima vielee mara ndege ikianguka baharini. Source:wachunguzi wa israel.
 
Back
Top Bottom