Kwanini natarajia kuanzisha Dini mpya (Dini ya Uzalendo) na Kitabu kipya kitakatifu(DOGUMA Takatifu)

MATARAJIO YANGU MAPYA/MY NEW GOALS.

1. Kuanzisha Dini Mpya Duniani itakayoitwa ''DINI YA UZALENDO'' (PATRIOTIZM RELIGION) na itakuwa Dini ya Serikali.

/ To introduce new Religion and will be named ''PATRIOTIZM RELIGION'' and will be a Religion of Governing a Government affairs.

2.Kuunda na kuanzisha KITABU KIPYA CHA MAANDIKO MATAKATIFU kitakacho tumika na DINI YA UZALENDO ambacho kitaitwa ''DOGUMA Takatifu''. Kumbuka Dini ya ukristu wana BIBLIA na DINI ya uislam wa KURUANI na hivyo Dini ya UZALENDO itakuwa na DOGUMA Takatifu...

/To Formulate new Scriptures of HOLY WORDS and will be named ''HOLY DOGUMA'' and will be used by the PATRIOTIZM RELIGION.

ASUBUHI News is Coming

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
ASUBUHI News
Deo, nilipokusoma hapa
Ndugu Watanzania hasa wale mnaonifatilia najua mnafahamu kuwa nilikamatwa tarehe 24 Januari 2018 hapa jiji Mwanza kwa kesi ya Mitandao ya jamii. Ninashukuru jana tarehe 15/3/2018 ndugu zangu wameniwekea dhamana kutoka wilayani Kahama, na sasa nipo nje kwa Dhamana. Nawashukuru wale wote waliofika kuniona gerezani Butimba na Mungu awabariki. Kesi yangu siwezi kuizungumuzia kwa kuwa bado inaendelea.

Pamoja na yote sitarajii kukimbia kisa nimewekewa dhamana, ni heri ni fungwe kuliko kukimbia maana na heshimu heshima ya walioniwekea dhamana. Na Mungu awabariki sana. MAPAMBANO BADO YANAENDELEA.

ndimi: DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
nikadhani umebadilika, kumbe bado!.

Pole kwa yote!.

Kwa watu wenye akili zetu timamu, nawaomba sana tusimdharau Deo, tusimcheke, wala kumkashimu, ni mtu anayehitaji msaada!. This man needs help.

Paskali
 
utakuwa na manabii na maswahaba? mi nakushauri Ndugu hebu pumzika kwanza utafakari kidogo mambo yanavyokwenda maana inaonekana upo ulimwengu mwingine kabisa
 
MATARAJIO YANGU MAPYA/MY NEW GOALS.

1. Kuanzisha Dini Mpya Duniani itakayoitwa ''DINI YA UZALENDO'' (PATRIOTIZM RELIGION) na itakuwa Dini ya Serikali.

/ To introduce new Religion and will be named ''PATRIOTIZM RELIGION'' and will be a Religion of Governing a Government affairs.

2.Kuunda na kuanzisha KITABU KIPYA CHA MAANDIKO MATAKATIFU kitakacho tumika na DINI YA UZALENDO ambacho kitaitwa ''DOGUMA Takatifu''. Kumbuka Dini ya ukristu wana BIBLIA na DINI ya uislam wa KURUANI na hivyo Dini ya UZALENDO itakuwa na DOGUMA Takatifu...

/To Formulate new Scriptures of HOLY WORDS and will be named ''HOLY DOGUMA'' and will be used by the PATRIOTIZM RELIGION.

ASUBUHI News is Coming

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
ASUBUHI News
Brother karibu tena.

089 111 117 032 097 114 101 032 099 114 097 122 121 032 098 114 111
 
Watu mliotaka kuwa Mapadri mkaishia nijiani mna matatizo sana.
Hivi ni kwa nini lakini? Huwa wanafanyiwa nini huko? Au ni yale mambo ya kashfa yaliyolikumba kanisa hivi majuzi? Kuna mwingine namfahamu naye yaani kichwani hayuko sawa kabisa. Wakimkamata tena wampe msaada wa kitabibu badala ya kumtupa Butimba.
 
Deo, nilipokusoma hapa
nikadhani umebadilika, kumbe bado!.

Pole kwa yote!.

Kwa watu wenye akili zetu timamu, nawaomba sana tusimdharau Deo, tusimcheke, wala kumkashimu, ni mtu anayehitaji msaada!. This man needs help.

Paskali
Pasco, shida jamaa alisema yote yanasababishwa na ashki ya mwili sasa huyu anatakiwa aoe na atulie na mwanamke, itamletea nafuu
 
Back
Top Bottom