Kwanini natarajia kuanzisha Dini mpya (Dini ya Uzalendo) na Kitabu kipya kitakatifu(DOGUMA Takatifu)

Sasa, kisandu ukianzisha dini ya uzalendo, kitabu kinaitwa dogma takatifu, na Mungu wa dini yako hiyo atakuwa nani mbona hujatutajia Mungu wenu ?. Bila shaka huyo Mungu atakuwa ni lusifa himself.
 
Labda yeye ndo atakua mungu wa dini yake
 
Back
Top Bottom