Kwanini nachangia CHADEMA Tsh 150,000 - Match mine or beat it!

Ahsante MMKJ

Mie nimetuma leo baada ya kusoma ujumbe wako kupitia gazeti la mwanahalisi.
 
Asante sana Mzee Mwanakijiji, nimetuma kwa Mpesa I hope number zilizoandikwa hapo sijazikosea maana sina namna ya kuthibitisha ila tuendelee kuchangia
 
Mimi nimechangia sasa hivi kwenye M-pesa,maana naona kutuma meseji 350 kaazi kweli kweli..Sikuwa na namba ya M-pesa..Tahnx for that number Mwenyekijiji
 
kuanzisha threads ni bure, sio lazima ulipie.
Hongera lakini hujamjibia swali lake. how to

Mwanakijiji umefanya uamuzi wa busara sana.
Nilimchangia regia naamini nitaendelea kutuma vijisenti vyangu kwa chama hiki
 
Natumaini chadema wataweka utaratibu wa kutaarifu hali ya kifedha ili kutupatia picha ya nini kinaendelea kwenye michango.
 
Natumaini chadema wataweka utaratibu wa kutaarifu hali ya kifedha ili kutupatia picha ya nini kinaendelea kwenye michango.
Hii acc yao ya NMB haina jina, maana ukifanya transaction kati ya acc na acc kwa kupitia simu huwa inakuambia acc ni ya nani. Inasaidia kama umekosea kuwahi kuzuia fedha zisiende pasipotarajiwa, nimetuma muda mfupi uliopita na haikutoa jina.
 
Natumaini wakiamka watatupatia majibu. Nimefikisha maoni yao kwa wahusika ili wayafanyie kazi.
 
Hii acc yao ya NMB haina jina, maana ukifanya transaction kati ya acc na acc kwa kupitia simu huwa inakuambia acc ni ya nani. Inasaidia kama umekosea kuwahi kuzuia fedha zisiende pasipotarajiwa, nimetuma muda mfupi uliopita na haikutoa jina.

a/c 2266600140, jina CHADEMA
 
minakuuliza ni aje, mbona sisi wengine hatuna fursa ya kutuma new threads, au inakuaje tujuze kuna fees au ni mpaka muamue wenyewe? tafadhali nijulishe

Kutuma New threads wapi mkuu, Hapa JF???
 
Mbona hii namba ya sms 15710 inakataa. Inanipa jipu la message failed.
 
naombeni namba ya kutuma kwa ZAP....hizo naona zote ni voda.sio mwenyeji sana humu JF ila naiamini credibility ya MM Mwanakijiji. naogopa tapeli anaweza akapenyeza namba yake hapa nami nikachangia.....nipo na pesa kwenye zap nataka kutuma sasa hivi.
............nimechangia wabunge wawili tshs70,000.......nataka kuchangia urais kwa sasa.....
 
CCM wanatoa risiti???? Avator yako inaonyesha jinsi akili yako ilivyochanganyikana na ma..i

Kwani nani anachangisha hiyo michango ya CCM kwenye ukumbi huu?

Avatar lakini imetulia au vipi? Teh teh teh. :becky: :becky: :becky:
 
Back
Top Bottom