Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,033
Weka chanzo cha habari yako kama sio chai huko vijiweniRejea kichwa cha uzi, karibuni mtueleze sisi kizazi cha leo, ni nini kilisababisha mlinzi wa Mwl Nyerere kumpiga mtama Mwl Nyerere nje ya Kanisa la St Peters?
Na kwanini tukio hili halizungumzwi sana miongoni mwa Watanzania wengi?
Chekechea siyo?nyerere nimesoma nae alikuwaga na maneno machafu ndyo maana alipigwa
Usituletee laana nchini kumsema mtakatifunyerere nimesoma nae alikuwaga na maneno machafu ndyo maana alipigwa
Kwanini hujamuuliza aliyekusimulia kisa hiki?Rejea kichwa cha uzi, karibuni mtueleze sisi kizazi cha leo, ni nini kilisababisha mlinzi wa Mwl Nyerere kumpiga mtama Mwl Nyerere nje ya Kanisa la St Peters?
Na kwanini tukio hili halizungumzwi sana miongoni mwa Watanzania wengi?
wewe usome na Nyerere??? Labda mtoto wakenyerere nimesoma nae alikuwaga na maneno machafu ndyo maana alipigwa
Labda Nyerere rapanyerere nimesoma nae alikuwaga na maneno machafu ndyo maana alipigwa