Kwanini mwanaume unanunua na Kwanini mwanamke unauza

Sasa yule pimbi wa buku mbili kakukaziaje bro?
NImegundua kuna janja wa subaru ananigongea pale nilimfungulia saluni
Leo nimebeba vifaa vyangu vyote na kuhusu kodi nimemwambia mwambie bahasha wako aendeleee kukulipia nikabeba na wifi yangu mamaaaee pamoja na vitu vyote nilivyonunua nimemuonea huruma nimemuachia skyworth ya inch 43 tu na feni tu
 
Bro ungebeba na feni wapigwe na joto
Hiyo skyworth ungeiacha na kaufa kwenye screen kama ukumbusho

Kwani si ubaya ni ubwela?
 
NImegundua kuna janja wa subaru ananigongea pale nilimfungulia saluni
Leo nimebeba vifaa vyangu vyote na kuhusu kodi nimemwambia mwambie bahasha wako aendeleee kukulipia nikabeba na wifi yangu mamaaaee pamoja na vitu vyote nilivyonunua nimemuonea huruma nimemuachia skyworth ya inch 43 tu na feni tu

Dah! Pole sana mkuu, ukute jamaa alikuwa anagonga free na misosi yako anapewa. Dunia ina siri sana hii. 😊
 
Binafsi sioni sababu ya kuuza wala kununua k

Mapenzi ya sikuhizi yamekuwa biashara ukimuaproach mdada anaangalia kwanza unanini na atafaidikaje akikupa ûnachotaka bila kujali kuwa ile ni raha mnayoipata wote wawili.

Mwanaume haweziishi bila mwanamke kadhalika mwanamke haweziishi bila mwanaume, tunategemeana kwahyo haina haja ya kuuza kitu mlichopewa na Mungu kwa matumizi ya mwanaume
Mwanamke ana bidhaa,mwanaume ana uhitaji wa hiyo bidhaa hivyo ananunua
 
Binafsi sioni sababu ya kuuza wala kununua k

Mapenzi ya sikuhizi yamekuwa biashara ukimuaproach mdada anaangalia kwanza unanini na atafaidikaje akikupa ûnachotaka bila kujali kuwa ile ni raha mnayoipata wote wawili.

Mwanaume haweziishi bila mwanamke kadhalika mwanamke haweziishi bila mwanaume, tunategemeana kwahyo haina haja ya kuuza kitu mlichopewa na Mungu kwa matumizi ya mwanaume
Siyo mapenzi ya 'siku hizi' tu, ni tangu enzi za Yesu Kristu wanasimuliwa makahaba.

Hawezi kuwepo kahaba bila mnunuaji au mteja!

Na uelewe hayo mambo ndiyo yanadhihirisha mfumo dume ni wa asili.

Mi nadhani kwa sababu maumbile ya mihemko ya mapenzi kati ya jinsi 'k' na jinsi 'me' kutofautiana na kwa kuwa jinsi 'k', mhemko wake mpaka uamshwe na jinsi 'me' ndiyo maana ana uwezo wa kuhiyari, kuuza ama kukataa.
Wakati jinsi 'me' linapofika suala la mhemko, anaweza kutumia 'gharama yoyote' ili kushawishi kupata anachokitaka.
 
Back
Top Bottom