Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

Mie ni one of the reasons kwa vile nimefutwa kazi ama? Is that supposed to be the ticket ya mke kuninyanyasa kweli? Kuna ubinadamu kweli katika hilo? Na wanawake wa type hii hata ukipata matatizo ya kiafya ukawa mtu wa kuhudumiwa tu utkufa mapema mno kwa masimango.
Yawezekana kweli mwanamke ana roho mbaya ila watu mara nyingi wananyosha vidole hawajioni wao ubaya wao
 
Mwanamke understanding hawezi kukupa pressures za kiduanzi isipokuwa atakupa ushirikiano zaidi kuhusiana na contigency plan mtakayoanza nayo kupunguza makali ya maisha.
Haswaa. Yaani anakuwa strategist si materialist. Means anakuwa zaidi ya mpenzi , anakuwa a team player.

Maanamke wa aina hii huchoki kumpenda kabisa, yaan mwanaume una feel obligated kuwa nae, huyu hata ukionga gari hamna shida kabisa.

Tatizo ni hawa wa sasa, yaan mapenz yatakuwepo kipindi unauwezo. Ukikosa tu tu tayari.. kununa hovyo, hataki kuwajibika wala kujua kuwa unapitia kipindi kigumu.
unakuta mwenzi wako anakutangaza kwa marafiki, hakupigii simu tena..

Kipimo kizur cha mapenz ni nyakat za shida. Ndipo utajua ukiyenaye ni wife material au gold digger.
 
Dah naomba mungu atupe macho ya kuona wanawake wakweli. Mwanamke real huchoki kumpenda yani laiti kama wanawake wanguejua kipindi cha kupandisha thamani mioyoyoni mwetu ni kipindi cha dhiki wasingethubutu hata kutufanya tuumie badala yake wangetukirimu vyema zaidi ili kuondoa ile pressure kuwa huna kitu.
 
Some of u appreciate real women and thats good..
 
Kwa kauli hizi hata m/ke afanye jema in ur eyes hatoonekana
Je nyie mpo kama baba zetu?.,obviously not tunaenda na hali halisi ya maisha ya sasa
Mwanaume hajawahi enda nje ya misingi yake ya kuwa provider ata akiwa na mchumba tu, wenyewe mnaita kuhongwa.
Wema utabaki kuwa wema tu LadyRed na rewards za wema ni inevitable. Naposema kizazi cha wake waelewa kiliishia kwa mama zetu simaanishi kuwa wanawake wote wa sasa sio waelewa isipokuwa i refer to the majority ambao pasua kichwa hasa ikitokea umeyumba kimaisha.

Zamani hata baba akipigika mama zetu walijua kuwafichia siri sana wazee wetu, mama alitoka kuchoma hata maandazi wakati baba anafukuzia mchongo mwengine. Sasa hebu niambie ni wanawake wangapi wa kileo wapo tayari kuamka asubuhi kuchoma maandaza na chapati ili tu msikose mahitaji muhimu ndani ya nyumba? Zaidi na hapo mwanamke ataanza kugongwa nje tu na kudanga ili mpate hela ya kuishi mwishowake ni dharau, masimango na migogoro kibao ndani ya nyumba as if mtu uliombea ufukuzwe kazi.

Ila hela zikiwepo hamna shida, ni kutumbua tu. Ndio hali halisi unayoisemea wewe sio!
 
Dah naomba mungu atupe macho ya kuona wanawake wakweli. Mwanamke real huchoki kumpenda yani laiti kama wanawake wanguejua kipindi cha kupandisha thamani mioyoyoni mwetu ni kipindi cha dhiki wasingethubutu hata kutufanya tuumie badala yake wangetukirimu vyema zaidi ili kuondoa ile pressure kuwa huna kitu.
Haswaa. Shida ni kwamba ukipita kipindi kigum, demu anabadilika, anaangalia interest zake instead of interest zenu. Pesa haipo, au imekuwa ngum, basi na vituko vinaanza.

Mwanaume aliyefulia akija kupata pesa, kama mpenz wake alimfanyia vituko lazima amuache. hapa ndipo vilio vya wadada wengi vipo, wanashangaa gafla mtu kasitisha mahusiano. Wanaanza kulalamika na kulaani ..
Mwanaume yoyote yule ambaye anajielewa. Akiwa na mwanamke ambae alimsaidia nyakati za shida, akiganikiwa anaoa kabisa. Mwanamke kama huyo si wakuacha.

Couples wanatakiwa kuwa team players, wawe na umoja. Mapenz hufa pale umimi ukianza.
 
Back
Top Bottom