Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

Haswaa. Shida ni kwamba ukipita kipindi kigum, demu anabadilika, anaangalia interest zake instead of interest zenu. Pesa haipo, au imekuwa ngum, basi na vituko vinaanza.

Mwanaume aliyefulia akija kupata pesa, kama mpenz wake alimfanyia vituko lazima amuache. hapa ndipo vilio vya wadada wengi vipo, wanashangaa gafla mtu kasitisha mahusiano. Wanaanza kulalamika na kulaani ..
Mwanaume yoyote yule ambaye anajielewa. Akiwa na mwanamke ambae alimsaidia nyakati za shida, akiganikiwa anaoa kabisa. Mwanamke kama huyo si wakuacha.

Couples wanatakiwa kuwa team players, wawe na umoja. Mapenz hufa pale umimi ukianza.
Shida nasi wanaume tukilelewa kipindi kigumu tukasaidia na wapenzi wetu hadi kutoka kimaisha tukiwini huwa tunabadili tawi La mti tunatafuta watoto wengine,tunawaumiza waliotulea.
 
kuna wanawake wengine wamejaliwa kwa upendo na uvumilivu aisee
nimeoa mdada sina kazi na alikubali mwenyewe na mpaka leo hii haninyanyasi kisa sina kazi ananipa moyo nitapata kazi tu ingawa mamawambia hata business Mungu akipenda nitafanya na inaweza kututoa
Hongera kaka sasa siku mambo yako yakikaa vizuri ukapata pesa usije ukaanza tabia za ajabuajabu. Umpe heshima yake.
 
Haswaa. Shida ni kwamba ukipita kipindi kigum, demu anabadilika, anaangalia interest zake instead of interest zenu. Pesa haipo, au imekuwa ngum, basi na vituko vinaanza.

Mwanaume aliyefulia akija kupata pesa, kama mpenz wake alimfanyia vituko lazima amuache. hapa ndipo vilio vya wadada wengi vipo, wanashangaa gafla mtu kasitisha mahusiano. Wanaanza kulalamika na kulaani ..
Mwanaume yoyote yule ambaye anajielewa. Akiwa na mwanamke ambae alimsaidia nyakati za shida, akiganikiwa anaoa kabisa. Mwanamke kama huyo si wakuacha.

Couples wanatakiwa kuwa team players, wawe na umoja. Mapenz hufa pale umimi ukianza.
Kila siku mi husema hiki kitu, selfishness ndio huua mahusiano mengi sana. Selfishness itapelekea dharau, selfishness itapelekea cheating na mawasiliano mabovu katika uhusiano hatimae mapenzi kufa!
 
Approach nzuri sana hii, ila kwa kipindi ambacho haupo K ya mkeo utakubali iwe inapigwa tu na vidampa sio.
7% out of 100%.Vyanzo vingi vya kuongezeka mauaji ya wivu wa kimapenzi chanzo kuu pia ni kuvurugika kwa uchumi pale mwanaume,na hali ya kuhudumia familia kupungua au kukoma baada ya Kazi,au shughuli kukoma,ni wachache sana wenye kuweza kumvumilia mme tegemezi,cha msingi ukiona manyanyaso yamezidi toka kwa mwenza mpumbavu na mna watoto, cha msingi iage familia na uende mbali kutafuta ukisimama irudie familia, lengo kuwalinda watoto wasishuhudie migogoro au dharau za masimango toka kwa mwenza ili kulinda maadili ya familia. Ukisimama msamehe mwenza,wako ndo mzigo wako huwezi utupa.
 
Umesahu Ile kanuni, kuwa mkiwa ndani ya Nyumba baba anapata Laki mbili na mama anapata laki Tano mwisho wa mwez hesabu katika hiyo nyumba mna laki mbili Tu
 
umezaliwa nao hao au umezaliwa peke yako nyie mmekutana humu jf hamjuani unasema wewe na wao...kalagabaho wao wametulia na wenza wao unadhani wako pamoja na wewe kwenye unyama wako...still bado kama una hizo tabia ni WEWE ..
jiandae kusimangwa mzee
 
Back
Top Bottom