Kwanini mwanaume anapiga goti anapomvisha pete ya uchumba binti?

Habari za mda huu. Juzi nasikiliza wasafi fm kipindi ya alfajiri ilitokea mada kuhusu usawa wa mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mwanamke au ni mwanamke ndo apige goti?

Sioni kama ni sawa mwanaume kupiga goti hasa mila za kiAfrika. Au ndo uzungu umezidi siku izi?
nemulangila sifanyi huo undezi a woman remains a woman yeye ndiye anapaswa kupiga goti kwa kupewa fursa ya usajili wa kipekee. Kneeling is for a Woman
 
Vijana wa kisasa huwa wanafanya mambo bila kujua hayo mambo au matendo ni ishara au codes kumaanisha jambo. Kwa kifupi ni wachache sana huwa wanajua maana ya hiyo kitu. Ila nitawalezea.

Mwanaume kupiga goti ni utamaduni wa tokea enzi za falme za huko barani ulaya miaka ya akina malkia (Medieval era)

Katika utamaduni wale vijana maaskari au wajeda walikuwa wakienda vitani na kurejea salama baada ya mapigano ya muda mrefu wakifika katika miji yao na kukuta wale mabinti waliokuwa wakiwataka au kuwapenda bado ni bikra na hawakuwahi ingiliwa wala kufanya mapenzi au kuwa na mahusino na mwanaume mwingine yoyote then hii ilikuwa inachukuliwa kama ni ishara ya mwanamke kuwa msafi wa nafsi na muaminifu au kwa English wanasema mwanamke huyu ni very Loyal kwa huyu mwanaume.

So kwa heshima huyu mwanaume anampigia goti huyu mwanamke mbele ya umati na kuomba ridhaa ya kumuoa na kupewa nafasi ya kuitwa bikra ile na heshima yake.

Na jambo la ziada mjue. Mwanamke ambae alikuwa proposed akiwa katika katika hali ya ubikra yaani alikuwa na bikra then huyo ndio anastahili kuvaa shela Jeupe kuashiria usafi wa nafsi katika ndoa na ndio maana shela hufunikwa na wavu kama ishara ya mwanaume kumfunua huyu mwanamke na kuanza nae maisha.

Sasa miaka hii unakuta demu limepigwa pumbu na washkaji hadi basi we unapiga goti kukaribisha minuksi kwenye uzao wako. Anavaa shela Jeupe huku ndani kashamwagiwa shahawa na vidume lukuki, keshatoa mimba mara kadhaa, kesha nyonya midudu kibao, we unapiga goti na kulia michozi fala kabisa.

Huyo ulitakiwa pete aivae mwenyewe tena akaichukulie kwa sonara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mda huu. Juzi nasikiliza wasafi fm kipindi ya alfajiri ilitokea mada kuhusu usawa wa mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mwanamke au ni mwanamke ndo apige goti?

Sioni kama ni sawa mwanaume kupiga goti hasa mila za kiAfrika. Au ndo uzungu umezidi siku izi?
Ebana Mkuu, mwanaume kupiga goti ni tamaduni za wazungu. Mimi siwezi fanya hiyo kitu abadani asilani
 
Habari za mda huu. Juzi nasikiliza wasafi fm kipindi ya alfajiri ilitokea mada kuhusu usawa wa mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mwanamke au ni mwanamke ndo apige goti?

Sioni kama ni sawa mwanaume kupiga goti hasa mila za kiAfrika. Au ndo uzungu umezidi siku izi?
Mimi nilimvisha tukiwa dinner mahali yani kisela,ndgu wameatukia amevaa pete nkatuma mshenga then tukapewa hesabu za kulipa...mwanaume hutakiwi kumpigia goti yeye ndio apige
 
Habari za mda huu. Juzi nasikiliza wasafi fm kipindi ya alfajiri ilitokea mada kuhusu usawa wa mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mwanamke au ni mwanamke ndo apige goti?

Sioni kama ni sawa mwanaume kupiga goti hasa mila za kiAfrika. Au ndo uzungu umezidi siku izi?

Ni ujinga uliyokubhu
 
Vijana wa kisasa huwa wanafanya mambo bila kujua hayo mambo au matendo ni ishara au codes kumaanisha jambo. Kwa kifupi ni wachache sana huwa wanajua maana ya hiyo kitu. Ila nitawalezea.

Mwanaume kupiga goti ni utamaduni wa tokea enzi za falme za huko barani ulaya miaka ya akina malkia (Medieval era)

Katika utamaduni wale vijana maaskari au wajeda walikuwa wakienda vitani na kurejea salama baada ya mapigano ya muda mrefu wakifika katika miji yao na kukuta wale mabinti waliokuwa wakiwataka au kuwapenda bado ni bikra na hawakuwahi ingiliwa wala kufanya mapenzi au kuwa na mahusino na mwanaume mwingine yoyote then hii ilikuwa inachukuliwa kama ni ishara ya mwanamke kuwa msafi wa nafsi na muaminifu au kwa English wanasema mwanamke huyu ni very Loyal kwa huyu mwanaume.

So kwa heshima huyu mwanaume anampigia goti huyu mwanamke mbele ya umati na kuomba ridhaa ya kumuoa na kupewa nafasi ya kuitwa bikra ile na heshima yake.

Na jambo la ziada mjue. Mwanamke ambae alikuwa proposed akiwa katika katika hali ya ubikra yaani alikuwa na bikra then huyo ndio anastahili kuvaa shela Jeupe kuashiria usafi wa nafsi katika ndoa na ndio maana shela hufunikwa na wavu kama ishara ya mwanaume kumfunua huyu mwanamke na kuanza nae maisha.

Sasa miaka hii unakuta demu limepigwa pumbu na washkaji hadi basi we unapiga goti kukaribisha minuksi kwenye uzao wako. Anavaa shela Jeupe huku ndani kashamwagiwa shahawa na vidume lukuki, keshatoa mimba mara kadhaa, kesha nyonya midudu kibao, we unapiga goti na kulia michozi fala kabisa.

Huyo ulitakiwa pete aivae mwenyewe tena akaichukulie kwa sonara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Topic closed...
 
Mkuu umetuchana mimi na jinsia yangu vibaya mno.

Nadhani kila tukiona shela jeupe hata madukani tutabaki tunaona aibu.
 
Back
Top Bottom