Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Ebo! Yaani mwanamke kasema kuwa 30+sio wakuoa. Ama kweli kawasagia kunguni wanawake wenzie.
Ila ameongea ukweli. Mwanamke kama una miaka 27 hujaolewa aloohh wee nenda kawe sista tuu usituaumbue na "mwanaume tafuta hela" 🤣🤣🤣🤣
Umeanza vizuri baadae unawatupia vijembe 🤣🤣 acha unafki
 
Bado sijaoa kaka, naendelea kutest engine kama itaendelea hivi hivi namalizia vibali nachukua mazima
ukishamaliza vibali ndo engine inafeli sasahivi inatembelea choki..😂
 
Back
Top Bottom