Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Meanie alilaaniwa na Mungu baada ya kumpa Adamu tunda aliambiwa “utazaa kwa uchungu na utamtamani mume wako”. Hii ya Kazaa kwa uchungu wazungu wamesha crack the code by epidural ile sindano unayochomwa kwenye uti wa mgongo uchungu ukianza.
Fact no 3,"mwanamke anatamani ila hapendi"

Tunaelekea kwenye ukweli
 
Mi nilijua mwanamke ni kupenda na kuheshimu af wanaume ni kuishi kwa akili tu km vile unaishi na kibaka ukijipindua anasepa na zote
Mkuu kama unakijua hicho kifungu tuletee, utakuwa umetusaidia sana
 
Kwa hiyo mwanamke hapendi ?
Jukumu lake ni moja tu. Kumuheshimu mume atakaye muoa.


Ndio maana ndoa zamani zilidumu. Kulikuwa hakuna kutongozwa. Ni unakuja shtuka tu ushatolewa mahali na unaenda kuolewa. Hapo wewe ni kumuheshimu tu mumeo. Na mama zetu walikuwa na heshima sana kwa wame zao. Ndo mana ndoa zilidumu. Ni kama walifata maagizo ya biblia.
 
Huko sio kupenda bali ni kutamani,
Ni kwa muujibu wa maelezo yako nilivyo yaelewa lakini
 
Mwanamke hajui anachopenda kwa mwanaume
 
Kiherehere
Yaaan kumpenda mwanamme wako ni kiherehere?? .

Amin nakuambia ,Kupenda kila mtu anapenda bila kujalisha jinsia yake kwakua kupenda ni Hisia Zinazojengwa Ubongon na Moyon mwa maanadamu.

Sasa je mwa mwanamke hana moyo au ubongo?.


Mimi nasema, mwanamke Ukishika Hisia zake, atakupenda tuu ,na anakupenda sio kwa bahati mbaya.
 
Basi swali lako halihitaji 7bu, na usingeuliza kwa maana hakuna chanzo/sababu za mwanamke kumpenda mwanaume.
 
Naona mnavyoyumba yumba na majibu yenu kama chombo kilichokosa uelekeo. Binafsi majibu yangu ninayoyaamini siku zote za maisha yangu ni "Sitokaa nijihangaishe kukifahamu kiumbe hiki"
 
Kwamba, "Mwanamke ni kutii, mwanaume ndiye wa kumpenda mwanamke"

Hii ni fact no 1

Swali kwako,
Je mwanamke hapendi ?
Ni baada ya .......... ndiyo yeye anapenda, lakini kinachofuata apendwe kisha yeye ni kutii
 
Basi swali lako halihitaji 7bu, na usingeuliza kwa maana hakuna chanzo/sababu za mwanamke kumpenda mwanaume.
Wanawake si wapo ?
Wenye wapenzi na waliolewa si wapo ?

Kama wapo basi majibu yapo na sababu zipo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…