Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Mwanamke alilaaniwa na Mungu baada ya kumpa Adamu tunda aliambiwa “utazaa kwa uchungu na utamtamani mume wako”. Hii ya Kuzaa kwa uchungu wazungu wamesha crack the code by epidural ile sindano unayochomwa kwenye uti wa mgongo uchungu ukianza.
 
Nalo neno tena hao waliolewa na wenye pesa, wanazichukua nakwenda kuwahonga makapuku, mwanamke ni kutii mwanaume ndiye wakumpenda mwanamke
Kwamba, "Mwanamke ni kutii, mwanaume ndiye wa kumpenda mwanamke"

Hii ni fact no 1

Swali kwako,
Je mwanamke hapendi ?
 
7bu zipo nyingi tu. Ila sasa, kinachotokea ni kwamba mwanamke anaweza kumpenda mwanaume kwa 7bu 1 au zaidi ya 1, hii haimanishi kwamba hawezi kumsaliti/kutoka nje ya mahusiano yao kutokana na kuwepo kwa vyanzo vingi ambavyo vinasababisha tabia hiyo.

Mfano, mwanamke X kampenda mwanaume Y (Mme/mchumba) kwa 7bu ana usafiri, pesa na sura nzuri. Lakini mwanamke X bado anaweza kuchepuka kwa 7bu mbalimbali kama:-

1. Tabia (huruka) chafu, yaani ni mtu wa kuchepuka by nature

2. Kulipiza kisasi, hapa mwanamke aweza kutoka nje kwa kulipiza kisasi baada ya kubaini kuwa mwanaume (Y) wake anatoka nje ya mahusiano yao.

3. Aina ya marafiki wa kike (peer groups) alionao. Hasa kwa kumshawishi, au kuona tabia ya kuchepuka ni kawaida kutoka kwao....

Niishie hapo tu....
 
Exactly,. Neno la Bwana limesema,."enyi waume wapendeni wake zenu....."na enyi wake watiini waume zenu..." Sasa hii vita itaisha tukifata misingi iliyokuwako.
Fact no 2 hii,
Now tunaelekea kwenye ukweli,

Swali kwako,
Ulishawahi kupenda ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…