Unitumie nukuu nyingine wakati ya mwanzo hujaimaliza?Mkuu kiranga,
Unataka nukuu nyingine tena nkutumie?
[emoji23]
Kumbe kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofsuti,Hujanionesha wapi pameandikwa kwamba mwanamke kumpenda mwanamke mwingine ni sexual disorder.
Hujaleta sehemu ilipoandikwa hivyo.
Ulicholeta hakijaandika hilo, labda wewe hujui kusoma.
Kumbe kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofsuti,
Umeelewa lakini unapinga,
Hili liweke pembeni,
Njoo tujadili hili hapa kama uko tayari lakini,
Kipimo cha uaminifu wa mtu ni muonekano wake wa nje?
[/QUOTE]Hili liko swali liko juu ya uwezo wakoHujamaliza hili unakimbilia lingine?
Nikisema ni kwa sababu umeshindwa kujitetea utakataa hilo?
Unaweza kunipa nukuu inayosema mwanamke kumpenda mwanamke mwingine ni sexual disorder kutoka hicho kipande ulicholeta hapa?
Au unafanya psychological projection unaposema "kumbe kusoma na kuelewa ni vitu tofauti", wewe ndiye umesoma,hujaelewa, umekurupuka kusema vitu sivyo ndivyo, halafu una project kutokuelewa kwako kwangu mimi.
Kipi ambacho sijaelewa?
Mimi naweza kukuambia wewe kipi ambacho hujaelewa.
Hujaelewa kusoma, unasema muandishi kaandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake ni sexual disorder, wakati ulichonukuu hakijasema hivyo.
Nuance please.
Kiranga=nyegeLUCKDUBE
Wewe huna hata uwezo wa kunukuu hapa JF.
Unaweza kuuliza swali lililo juu ya uwezo wangu?
Weka nukuu inayosema kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder hapa.
Acha longolongo.
Hiiiiii!Kiranga=nyege
Daaah mwanangu Mbona Unataka WATU tusioeee aseeMWANAMKE anampenda mwanaume asie nae kwenye MAPENZI/NDOA....yaan (MCHEPUKO) kwasababu moja kuu ya ASILI.
Nayo ni hii,
MWANAUME+MWANAMKE=
Mwili mmoja.
Hivo MWANAUME akiwa kwenye MAPENZI/MAHUSIANO na MWANAMKE hawi mwanaume tena(tuliaaaa staki matusi,utanielewa) anakua nusu-ME nusu-KE,kutokana na kubadilishana tabia na ke,....hivo MWANAMKE (psychologically) akikaa na ME mda mrefu huanza kumuona tofauti kabisaa na alivomuona mwanzo kabla hawajananiniii na kuanza kuona kama WANAUME wa nje ambao anakutana nao ndo vidume na "WANAUME-HALISI".
Wakuu hii kitu ni very spiritual sana,tuacheni kuwalaumu akina wanawake,wewe ukiamua kua nae/kuoa kabisaa,jua kua unafanya hivo " AT YOUR OWN RISK "
Bila nyege usingekuwepo wewe.Kiranga=nyege
[/QUOTE]Kitu kimejadiliwa kwa topic nzima na nimekuwekea hicho kipande kama evidence tu, nkakuwekea na tovuti,Hujamaliza hili unakimbilia lingine?
Nikisema ni kwa sababu umeshindwa kujitetea utakataa hilo?
Unaweza kunipa nukuu inayosema mwanamke kumpenda mwanamke mwingine ni sexual disorder kutoka hicho kipande ulicholeta hapa?
Au unafanya psychological projection unaposema "kumbe kusoma na kuelewa ni vitu tofauti", wewe ndiye umesoma,hujaelewa, umekurupuka kusema vitu sivyo ndivyo, halafu una project kutokuelewa kwako kwangu mimi.
Kipi ambacho sijaelewa?
Mimi naweza kukuambia wewe kipi ambacho hujaelewa.
Hujaelewa kusoma, unasema muandishi kaandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake ni sexual disorder, wakati ulichonukuu hakijasema hivyo.
Nuance please.
Kitu kimejadiliwa kwa topic nzima na nimekuwekea hicho kipande kama evidence tu, nkakuwekea na tovuti,
Wewe unataka nukuu hii sio sheria mkuu, hii ni sayansi na inatumika kwenye health facilities, ttainungs na vyuoni,
Sasa wewe unaambiwa ukweli unataka kifungu, hii sio sheria mkuu,
Swali lako halikuwa sehemu ya topic hii, swali lako ni kitu ambacho miaka ya nyuma mwalimu alitufundisha tukasoma pia kwenye vitabu tukafanyia mtihani na kulifanyia kazi,
Hiyo ilikuwa enzi hizo,
Sasa wewe unakomaa mpaka basi,
This is actually delusion sio bure!
Nukuu inayosema kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni "sexual disorder" kutoka kifungu ulichokiweka hapo juu.Unakwama wapi mkuu?
Hii kitu waliosoma psychiatry watakucheka wakiona unavyobisha kitu ambacho kipo, ni sawa na kubisha kuwa malaria inasababishwa na mbu jike, ukidai uonyeshwe kifungu cha maneno ilihaki watu wanasoma kama topicLUCKDUBE
Wewe huna hata uwezo wa kunukuu hapa JF.
Unaweza kuuliza swali lililo juu ya uwezo wangu?
Weka nukuu inayosema kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder hapa.
Acha longolongo.
Good,Nukuu inayosema kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni "sexual disorder" kutoka kifungu ulichokiweka hapo juu.
Kitabu kizima kipo online hapa chini nimeweka pdf link. Usipate tabu.
Naomba hiyo nukuu, weka sentensi hapa tuichambue neno kwa neno kama ulivyosema.
http://sbmu.ac.ir/uploads/shives2012.pdf
Hiyo link mbona niliweka tangu awali?Good,
Kama kitabu unacho,
Pitia maada nzima,
Hicho kitu kimejadiliwa kama topic,
Kasome then urudi kufuta kauli yako
Inafaa akujibu mwanamke swali hili.Namimi naligeuza kisha nakuuliza,
Kwa nini mwanamke anampenda mwanaume ?
Kasome urudi kufuta maneno yako,Hiyo link mbona niliweka tangu awali?
Wewe ndiye umekileta kitabu kama kinasema mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.
Nikakuuliza wapi.
Umebandika maneno hapa kama ushahidi.
Maneno yenyewe hayasemi hilo. Yanasema kitu tofauti.
Ndiyo maana nikakuuliza.
Unajua kusoma Kiingereza?
Walipoandika mwanamke kumoenda mwanamke ni sexual disorder ni wapi?
Hujaonesha hilo.
Wote hawana majibu ilihali wana waume zao, wanakimbilia kunukuu biblia wakati sisi tunataka uhalisiaInafaa akujibu mwanamke swali hili.
Mimi niligeuza ili nijibu kwa mtazamo wangu mimi mwanaume