Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,374
Tena wengine huwa wanakua na hasira au machozi bila sababu, ni vizuri mkawaelewa wakw zenu wala hamtapata tabuMabadiliko ya hormones (fluctuations za estrogen na progesterone) kipindi cha hedhi husababisha mood kubadilika na hivyo mwanamke anakuwa na mood swings.