mkuu amezidi yaani naona kama ni makusudi vilePole sana si kosa lao na hapo tarajia kidume, mimba za vidume zina mambo balaa
Kama kuna kipindi unapaswa kuwa karibu na mkeo ni kipindi cha ujauzito na pia kuwa na uvumilivu wa kiwango chake
Shukuru Mungu hiyo mimba haijakuchukia ungeisoma namba , nakushauri vumilia na fanya kila anachikitaka , si kosa lake ni hiyo hali aliyonayo
Hapana una nafuu kubwa mno tena Shukuru amekuruhusu uwe mbali kuna wengine hawabanduki mgongoni ulipo yupo na demand kilo mia tisamkuu amezidi yaani naona kama ni makusudi vile
kaka mshana dah nakumbuka niliwahi kutumwa ubuyu kwenye duka moja kariakoo ukinunua duka linguine tu anaujua yaani kula ubuyu kwa kwenda mbele hadi miezi mine ilipoisha then nashangaa siagizwi ubuyu hahahahahahaHapana una nafuu kubwa mno tena Shukuru amekuruhusu uwe mbali kuna wengine hawabanduki mgongoni ulipo yupo na demand kilo mia tisa
kaka mshana dah nakumbuka niliwahi kutumwa ubuyu kwenye duka moja kariakoo ukinunua duka linguine tu anaujua yaani kula ubuyu kwa kwenda mbele hadi miezi mine ilipoisha then nashangaa siagizwi ubuyu hahahahahaha
mimba zina vituko na vitimbi vyake wallah natamani hata kuziandikia post
Ila omba Mungu isiwe kuugua au kutapika mwanzo mwisho utaona dunia chunguRaha ya mimba vitimbi babu, mimba raha yake usumbue, utifue, upachimbe..... Halooooo
Mimba bwana ni shughuli nyingine, yani siku moja tu ya ujauzito ni kama mwezi..... Ile kipindi ShkamooIla omba Mungu isiwe kuugua au kutapika mwanzo mwisho utaona dunia chungu
Hili ndilo analopaswa kuomba...haya mengine avumilie tu........kuumwa wakati wa mimba ni mateso sana.....bora hivi vitimbi vya kudai misosi tu.Ila omba Mungu isiwe kuugua au kutapika mwanzo mwisho utaona dunia chungu
Nilikuwa pweza ngisi na mchuzi wa pweza wenye ndimu nyingi sitakaa nisahau yani nikifika magomeni usalama lazima nipaki nipate, kisha nanyoosha mpaka mabibo mwisho nikifika tena hapo napiga more! Kumbe nilikuwa nasaidiaMimba bwana ni shughuli nyingine, yani siku moja tu ya ujauzito ni kama mwezi..... Ile kipindi Shkamoo

Hebu tutengeneze post ya vituko vya mimbaMie nakumbuka nilikuwa napenda pweza na supu yake......nikiwakosa roho hainipi....kuna siku ilinibidi nipande gari nirudi mjini nikale pweza.... Mana sehemu ambayo nilikuwa nanunua mbezi hakuwepo huyo mtu siku hiyo..... Mimba ni shida aisee unakuwa chizi bila kutarajia.