rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,290
- 26,112
halafu akaenda kwenye msiba wake na kukataa kupokea mkono wa Dr shein huku akisahau yeye ndio alimsaliti marehemutafuta hiki kitabu utapata majibu yko kifupi tu. maalim seif baada kufanya usaliti kwa mzee jumbe akitegemea malipo ya kupewa urais wa Zanzibar. Alivyojimwa urais ndio akajifanya mwanaharakati na kutaka kuitoa Zanzibar kwenye dhuruma ya muungano ikabidi afukunzwe CCM...![]()