Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,994
- 45,066
- Thread starter
- #21
Iko jukwaa gan mbona ina goma mkuuMjumbe hafi... ingia hii link uone watu wanavyo kudis
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1365535/
Iko jukwaa gan mbona ina goma mkuuMjumbe hafi... ingia hii link uone watu wanavyo kudis
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1365535/
Asante nimeona mkuuMjumbe hafi... ingia hii link uone watu wanavyo kudis
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1365535/
Kumbe Maalim Seiph nae alikuwa msaliti mkubwa.Mtetezi wa ZNZ ndani ya muungano ni Maalim Sefu,
Jumbe alilaghaiwa na laghai mkuu,nyerere kuwa aunganishe vyama na yeye abaki kuwa makamo wa Raisi by 1980 nyerere atampasia uraisi wa muungano jumbe, hapo ndipo jumbe alipotumai na kiua A S P .hatimae Nyerere kaendelea kutawala tean .
Jumbe akanuna na kuandaazengwe LA serikali 3.na huo ukawa mwisho wake,.Huyu Sefu hapa alipachikwa tuu ili kuziba ukweli.
kinapatikana wapi?tafuta hiki kitabu utapata majibu yko kifupi tu. maalim seif baada kufanya usaliti kwa mzee jumbe akitegemea malipo ya kupewa urais wa Zanzibar. Alivyojimwa urais ndio akajifanya mwanaharakati na kutaka kuitoa Zanzibar kwenye dhuruma ya muungano ikabidi afukunzwe CCM...![]()
Ilala Amana mtaa wa uhuru na Arusha nyumba ya kona kuna Stationary wanauza hapo...kinapatikana wapi?
sh ngapi mkuu ili nijipange kabisa?Ilala Amana mtaa wa uhuru na Arusha nyumba ya kona kuna Stationary wanauza hapo...
15000sh ngapi mkuu ili nijipange kabisa?
thanks barikiwa sana15000
That's great. Sio Kila kinachokujia kichwani ukipost jukwaani. Vingine peleka Facebook Na insta.Kuanzia kesho ni nondo za maana kwa kwenda mbele
Jumbe hakuwa mhuni la hasha bali alizidiwa sauti na kubanwa mbavu na team ya akina Haji Ramadhani Faki ndani ya SMZ.Kwahiyo kumbe naye ni mhun kama wahun wengine tu
Ndio hichi kitabu kimeandikwa maneno ayo au umetunga wewe ayo. Sio vyema kupotosha kuwa muwazi.tafuta hiki kitabu utapata majibu yko kifupi tu. maalim seif baada kufanya usaliti kwa mzee jumbe akitegemea malipo ya kupewa urais wa Zanzibar. Alivyojimwa urais ndio akajifanya mwanaharakati na kutaka kuitoa Zanzibar kwenye dhuruma ya muungano ikabidi afukunzwe CCM...![]()