Ok kumbe ibaada ndio kitu fundamental kwenye Huu ulimwengu.Kwa nini JUA lipo? Kwa nini linatokeza Mashariki na kuzama Magharibi na si Kaskazini au Kusini? Huwezi ukahoji uwepo na maumbile ya nature. Nature inakuwepo tu pasipo ridhaa yako na baada ya hapo unachotakiwa kuhoji ni SABABU ZA UWEPO WAKE na si kwa nini ipo
Kwa mfano, huwezi ukahoji kwa nini wewe umezaliwa mwanamme au mwanamke ila unaweza ukahoji sababu za wewe kuzaliwa mwanamme au mwanamke.
SI KILA SWALI ULILONALO KICHWANI KWAKO, LINA MAJIBU AMBAYO YANAWEZA KUTOLEWA NA MWANADMU
Sababu pekee ya uwepo wa Mungu ni Ibada!
Asingekuwepo; wewe pia usingekuwepo. Mungu yupo ili mimi na wewe pamoja na viumbe vingine, vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana, tuweze kumwabudu.
Ni Mungu pekee anayestahili kuabudiwa
Mungu ndio mtoa pumzi na chanzo cha upendo kwetu sisi wanadamu.Ukisema Mungu haitaji sababu ya kuwepo, Kwahyo Mungu Hana purpose yoyote kwenye Huu ulimwengu? ....Inamaana hata asingekuwepo, kusingekuwa na Hasara yoyote?
So Mungu yupo ili aabudiwe??Kwa nini JUA lipo? Kwa nini linatokeza Mashariki na kuzama Magharibi na si Kaskazini au Kusini? Huwezi ukahoji uwepo na maumbile ya nature. Nature inakuwepo tu pasipo ridhaa yako na baada ya hapo unachotakiwa kuhoji ni SABABU ZA UWEPO WAKE na si kwa nini ipo
Kwa mfano, huwezi ukahoji kwa nini wewe umezaliwa mwanamme au mwanamke ila unaweza ukahoji sababu za wewe kuzaliwa mwanamme au mwanamke.
SI KILA SWALI ULILONALO KICHWANI KWAKO, LINA MAJIBU AMBAYO YANAWEZA KUTOLEWA NA MWANADMU
Sababu pekee ya uwepo wa Mungu ni Ibada!
Asingekuwepo; wewe pia usingekuwepo. Mungu yupo ili mimi na wewe pamoja na viumbe vingine, vilivyopo, vinavyoonekana na visivyoonekana, tuweze kumwabudu.
Ni Mungu pekee anayestahili kuabudiwa
ndio haswa binadamu katika mfumo wa maumbile ya mwili ndio amejiwekea mda kwa sababu ana mwanzo na mwisho kimwili , mda ni dhana yakufikirika tu mjomba , kulingana na mabadiliko ya nchi , ndo maana mda ni tofauti kulingana na eneo moja na jingne , yani ni kupanga tu kwamba tukiona jua la utosi ni sa sita , tukiona mvua zinanyesha ni mwezi wa tatu masika na hyo dhana tunaijenga kichwan kwa mda mrefu , ndo maana umehisi inauhalisia kbsa , na ndio maana una limit nguvu kuu kwenye mda.Kwahyo pasipo binadamu hakuna muda?
Ukifunga nyumba yako ukaondoka, muda pale unaganda? Ukirudi unaganduka?
Kama umeacha chakula wazi nyumbani ukarudi baada ya siku 3 utakikuta kipo vilevile au kimebadilika?
Maana kama hakuna muda basi hakuna mabadiliko.
Uwepo wa mabadiliko ndio umeleta muda...Na Huu muda utaendelea kusonga mbele bila kurudi nyuma kwasababu ya 2nd law of thermodynamics, the law of entropy.
Entropy always increases, so time will always go forward.
Uko safi, naanza kupenda namna unavyofikiria.Ok kumbe ibaada ndio kitu fundamental kwenye Huu ulimwengu.
Ni kwanini? Ibaada inasaidia Nini?
Inamaana ibaada isingekuwepo hata Mungu asingekuwepo, maana kusingekuwa na Sababu ya yeye kuwepo.
Maswali yako yoylte jibu lake ni hili "Sijui"ni kitu gani kilichopangilia mfumo wa fahamu , mfumo wa mmengenyo wa chakula , na nk je huo mpangilio hauna intelligence ya aina yoyote? je unafikiri ni nini kilisababisha vitu viwepo kwenye mfumo maalumu na kwasababu maalumu je vipo tu bila nguvu yoyote? na sababu za kuwepo ni nin ? ili iweje ? na je vyote unavyoviona vime arise kutokea wap na kwa nguvu ipi?
MUNGU haitaji chochote kutoka kwako hana upungufu hana udhaifu wa aina yoyote , unaabudu kwa sababu wewe ndo unamhitaji Mungu , kama ulisikia Mungu anapenda sifa , kuabudiwa na wivu na hasira , ni hulka zinazomweka Mungu katika hisia za maumbile ya mwili kama binadamu alivyoUko safi, naanza kupenda namna unavyofikiria.
Chukulia hii Hypothetical Experiment; Aassuming tungekuwa tunaweza kufanya expereiment kwa kutumia binadamu aliye hai:
KWAMBA umchukue mtoto mdogo aliyezaliwa leo, mpeleke akaishi peke yake porini na kwamba hakuna kitu kinachoweza kumdhuru huko na wala hakuna hitaji analoweza kukosa. Akue akiwa huko peke yake na akili yake iendelee kuwa kawaida pasipo kuwa kasoro yoyote, huku akiwa hana kabisa interaction na binadamu mwingine yeyote, na possibly asijue kabisa kuwa wapo binadamu wengine zaidi yake yeye.
Baada ya kuwa amkekuwa mtu mzima huku akiwa anaendelea kuishi katika mazingira hayo, unadhani nje ya kufanya kazi za kawaida kujipatia mahitaji yake ya kawaida kama vile chakula na maji, nini kingine cha ziada ambacho ni lazima tu atakifanya atake asitake, ukizingatia kuwa huwa anaona:
1. Jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi kila siku;
2. wakati mwingine mvua ikinyesha na mawingu yakiwa yanatembea angani kila siku
3. kila kitu kilichoko juu angani na vyote vilivyoko juu ya ya ardhi, n.k.
Mtu yeyote MWENYE AKILI TIMAMU, akishayaona mambo haya yote, kitakachofuata baada ya hapo ni IBADA. Sasa, whether atafanya Ibada ya kumwabudu Mungu wa kweli ama la; hilo sasa litakuwa ni swala jingine. Naturally mtu yupo kwa ajili ya Ibada; kitu core kwa kiumbe yeyote anayeitwa binadamu ni Ibada
Hata hivyo, Ibada nazo pia zipo nyingi. Zipo za kwenye majumba ya Ibada na zipo za nje ya majumba ya Ibada. Kwa mfano, kufanya kazi zako sawasawa na na sheria za nchi ikiwa ni pamoja na kuwatendea haki watu wanaofika ofisini kwako wakihitaji msaada wako; hiyo nayo pia ni Ibada nyingine
Hizi ndiyo mojawapo ya Ibada ambazo kwazo Mungu alikuumba ili umwabudu
Unajichimbia kutafuta jibu kwa nini mungu yupo!!!?..kila la kheriUsimtishe mtoa hoja.
Tafuta jibu aweze kukidhi dukuduku lake.
Mie naamini Mungu yupo. Lakini kwa nondo alizoweka hapo nimejichimbia kusaka jibu
Hizi so Shana tu!!...vipi Kama,vipi vile!!!...ni dhana,hakuna hoja hapoMaswali yako yoylte jibu lake ni hili "Sijui"
Lakini jibu langu la sijui halitoi mwanya kuwa jibu lingine lisilola kiuchunguzi (Mungu) ndio chanzo.
Vipi kama ni viumbe kutoka sayari zingine wametutengeneza kama majaribio yao ya kisayansi?
Vipi kama huu mfumo wa watu kufa, ni moja ya failure ya hao viumbe waliuotuumba sisi na wako katika mchakato wa kuboresha ugunduzi wao?
Watu wengi wanafikiria maswali ya namna hiyo kuhusu complex ya vitu ndio yanatoa mwanga wa kuthibitisha Mungu yupo
Lakini kihalisia ukifata principle ya maswali hayo bila kuivunja basi sidhani kama utahitimisha kusema Mungu yupo
Kwanini nasema hivyo
Kwasababu hoja inajadili complex ya kitu kuwa ni lazima kiwe na chanzo, na kadri kitu kinavyokuwa na complex kubwa maana yake ndio kinakuwa na ulazima wa kuwa na chanzo kuliko kitu chenye complex ndogo
Kama vishkwambi vya kuhesabia sensa pamoja na complex ndogo vilivyonavyo lakini bado inakuwa ngumu kusema havina chanzo, basi hicho chanzo kilichounda hivyo vishkwambi ni lazima kiwe kihitaji chanzo maradufu kwasababu kina complex kubwa kuliko vishkwambi.
Halikadhalika unaposema mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, mfumo wa intellijensia ya mtu kuwa haiwezekani vitu hivyo tata vikawepo bila kuwepo na chanzo kilichosababisha, ambacho chanzo hicho umekipa jina la Mungu
Basi hata Mungu huyo ambaye ana complex zaidi ya kiumbe chenye mmeng'enyo wa chakula alichokiumba lazima Mungu huyo ahitaji chanzo zaidi kuliko binadamu mwenyewe.
Ukisema Mungu yupo hana chanzo (ukavunja sheria ya kuhoji complex) huna tofauti na mtu anayesema vishkwambi vipo na havina chanzo.
Nimeuliza nini faida ya heshima na ikiwa anaweza ionesha,acha kuzungukazunguka kihoja na kudandia mamboBinadamu anataka kuheshimiwa sababu ya mapungufu yake.
Yani chanzo cha heshima kimesababishwa na mapungufu ya watu.
Na heshima ipo katika matabaka, heshima nayo muoneshea mzazi wangu na yeye akaifurahia, haiwezi kuwa universal kwa mzazi mwingine.
Hiyo yote kwasababu ya mapungufu ya binadamu
Mfano, mimi mzazi wangu akikosea naweza nikamsahihisha kuwa hapo mzee umekosea na yeye akakiri kosa.
Lakini kwa mzazi mwingine akikosea ukimkosoa atakuambia huna heshima.
Kwa hiyo hapo ukiangalia utaona kilichokuwa heshima kwa mtu mmoja, kwa mwingine jambo hilo hilo limeleta taswira tofauti.
Hata wewe mwenyewe sidhani kama ukirudia kusoma ulichokiandika utaelewaHizi so Shana tu!!...vipi Kama,vipi vile!!!...ni dhana,hakuna hoja hapo
Uwe unafikiri kwanza kabla ya kujibu,atuumbe ili tumtimizie mapungufu yake!!?Kama kuna faida yeyote anayoipata basi huyo Mungu sio mkamilifu na hajitoshelezi, kwa
sababu kuna vitu ana lack na ili avipate anatuhitaji sisi tumtimizie
Umerukia kwenye typo Sasa!Hata wewe mwenyewe sidhani kama ukirudia kusoma ulichokiandika utaelewa
Faida inatokana na mapungufu, na hasara yake ipo katika premises hizo hizoNimeuliza nini faida ya heshima na ikiwa anaweza ionesha,acha kuzungukazunguka kihoja na kudandia mambo
Hujaeleweka, ndio kusudio languUmerukia kwenye typo Sasa!
Dah,nenda kale kwanzaFaida inatokana na mapungufu, na hasara yake ipo katika premises hizo hizo
Umeelewa..Ila for the sake of argumentsHujaeleweka, ndio kusudio langu
Ni kama kuna kitu unajaribu kunionesha afu kipo kwa mbali unaishia kusema "kale"Dah,nenda kale kwanza
nmekuelewa sna kwa maelezo yako , vyote hivyo hao viumbe unaosema wapo , hivyo vishkwambi unavyosema vina chonzo vyote hivyo vina source from super intelligence energy , apo apo kumbuka energy imedhibitika never created no destroyed but can be change from one form to another form , hyo super intelligence energy ndo Mungu sasa , nyuma na ndani ya kila maumbile ya kiphizikia kuna energy inayodrive vitu vyote katika mlinganyo sahihi , maumbile yote unayoyaona yana Mungu na hata wewe una Mungu na bado unaendeleza kazi zake kama za uumbajiMaswali yako yoylte jibu lake ni hili "Sijui"