inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,763
- 22,542
Hili la faida ya kuheshimiwa na mwanao huna maelezo ya maana...Pole pole TU ..nmeandika hasara nyingi mpaka Kupigwa Kuibiwa ila umeona ya kuulizia ni kusengenywa.
Sawa ..Sasa kusengenywa ni kubaya Kwa sababu Moja...Watu wakikusengenya wanakudharau, wakikudharau hawakupi nafasi, hawakusikilizi,hawakuamini,hawakusaidii ukiwa na shida,hawakukumbuki,.
Sasa kama wewe kwako hizo sio hasara basi wewe sio binadamu.
Na kama huoni shida ya kuishi na jamii inayokusengenya,inayokutukana,inayokudharau,isiyokuamini, isiyokulinda. (hata ukiumwa/ukifa haijali), isiyokujali, inayokunyanyapaa na kukutenga Basi utakuwa sahihi kusema hamna faida ya kuheshimiwa.
Na kama wewe huoni hasara ya kudharauliwa na mwanao na kufanyiwa yote hayo juu, Ntakushangaa siku nikikukuta unamlazimisha mwanao akuheshimu.
Kwasababu yupo. Alikuwako yupo na ataendelea kuwako. Hana mwanzo wala mwisho. Ndio sababu mungu yupoNB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
Kama hamna faida nayopata siwezi kutaka aniheshimu.Hili la faida ya kuheshimiwa na mwanao huna maelezo ya maana...
Mungu Akifurahi/asipofurahi kuwa watoto wake tupo na tunaendelea vizuri, Nini kinatokea?Mungu ni baba, kwa maana rahisi ni mzazi, furaha yake ni watoto alioumba, ametuumba kwasababu anafurahia kuwa mzazi, hali kadhalika wewe kuna jambo au hali fulani unayofurahia pale unapoitwa baba ndio maana unatamani kuwa na watoto
Nini kinachowapa ugumu kuelewa ingawa mnaona kwa macho yenu kuwa mna baba zenu nanyi mtakuwa na watoto wenu? Lazima mtambue kama mlivyo na baba zenu ndivyo baba zenu walivyo na chimbuko laoKuna mambo yanafikirisha sana ngoja ni-mute nisije kufuru.
Yale yote yanayokufanya wewe kutaka kuwa na watoto ndiyo hayo yaliyompendeza yeye na akatuumbaNimeeleea maana ya Sala na ibada ...asante sana.
Maana yake tunasali na kuabudu kumshukuru Kwa kutuumba....Sasa kwanini akatuumba lakini?
Asipofurahia basi anaweza kuangamiza na akaumba tenaMungu Akifurahi/asipofurahi kuwa watoto wake tupo na tunaendelea vizuri, Nini kinatokea?
Hiyo furaha Ina ulazima Gani kuwepo?
Ina maana lazima hiyo furaha iwepo ndio maana Mungu akawepo na binadamu tukawepo?
Siku Mungu akiamua kutofurahi uwepo wa binadamu, basi hiyo siku Mungu atakufa?
Nimeuliza kwanini Mungu yupo? Wewe unajibu kwasababu yupo.Kwasababu yupo. Alikuwako yupo na ataendelea kuwako. Hana mwanzo wala mwisho. Ndio sababu mungu yupo
Kutuma ama kuagiza, kuheshimiwa, kusaidiwa kazi,Yapi hayo? Nifahamishe
NdioNa anaweza kuangamiza akaishi bila kuumba?
Swali lako ni zuri, nahisi nimelielewa.NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
Jibu lako ni zuri lakini halijajibu swali langu lolote.Swali lako ni zuri, nahisi nimelielewa.
Kwa ufupi, Wanadamu huhisi kuwepo kwa Mungu—au kile wanachokiona kuwa ni uwezo wa juu zaidi—kwa silika safi, pamoja na au bila ufunuo wa kinabii wa kuwaongoza. Matamshi ya yabkwanini Mungu awepo hujibika bila mipaka wala maneno, hayo yameonekana katika tamaduni na dini kote ulimwenguni, licha ya kuwa yametenganishwa sana na wakati, jiografia na lugha. Kwa maneno ya kiroho ya Kiislam, hii ni kwa sababu Mungu amempankila mtu (fitrah) ya kumtambua Muumba wao na uwepo wake.