Kwanini Mungu hakuumba dhahabu uchagani?

Kwanini Mungu hakuumba dhahabu uchagani?

Nikiambia nitaje Top 10 ya nyuzi za hovyo mwaka huu huu hazikosi.
 
Yaani kwa marealle alichofanya, bado unatamani na dhahabu ingekua kwao😂😂😂😂.
 
hao siyo wayahudi, hao wajukuu wa Ham. Walikimbizwa na wayahudi wa aethiopia, wakakimbilia kujificha chini ya mlima hiuko, wakitokewaa huku wanazunguka huku, ndiyo maana wakauzunguka huo.

Nani alikwambia wayahudi ni weupe?
Hiz story za kujiifariji mbona wayahudi wa leo ni wazungu na kwanini walifukuzwa na wayahudi wenzao wa ethiopia!? Wayahudi wa ethiopia hawana vinasaba vyovyote na wachaga acha uongo wenye vinasaba na wayahudi wa ethiopia ni warangi wanyaturu na wale wairaq wa manyara enzi za mfalme suleiman malkia wa sheba ambae alikua anaongoza ethiopia alienda kumtembelea mfalme suleiman akalala nae na kupata mimba ndio huu uzao wa wahabeshi wa leo.labda useme wachaga zamani walikua nyani wakageuka kua binadamu lkn sio useme ni wayahudi

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Sheria za Madini na pia Sheria za Ardhi zinaeleza kwamba madini na maji ni mali ya umma.

Yaani kama unamiliki ardhi, madini (kama yapo) siyo yako bali ni ya Serikali na ukichimba ni kosa la jinai iwapo itabainika.

Sasa sijajua hao Wachagga wangekuwaje matajiri wakati madini si mali binafsi bali ni nyara za serikali.

By the way utajiri ya Tanzania siyo madini tu. Mfano, Mkoa wa Pwani una ardhi yenye rutuba nzuri sana na huko Wachagga na makabila mengine wamenunua mashamba na kufanya kilimo.

Hata hayo madini Wachagga wapo na wanafanya biashara vizuri tu.
 
Ndiyo wako kwenye nafasi za maamuzi hivyo wametunga sheria hiyo kuwa chochote kilichoko chini ya ardhi yako ni mali ya serikali, chochote kilichoko juu ya ardhi yako ni mali yako.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa mwaka gani?
Soma historia ya wachaga utaikuta miaka waliyoshuka kutoka ukambani na taita huko. Mwaka huwezi kuu pinpoint kwa sababu hao siyo watu wa ukoo mmoja au wa aina moja. Walikutana tu hapo Uchagani ndiyo wakawa wachagga.

Unajuwa hao hata jina Wachaga walipewa na Waswahili, wenyewe hao walikuwa hawajii hivyo. Nadhani hata sasa wenyewe kwa wenyewe wajitambulisha vingine, hao wachagga usifikiri wote ni wa kabila moja, wapo hapo wenye ukamba, wapo wenye ukikuyu, wapo wenye usambara Ni watu mchanganyiko waliokutana hapo chini ya milima "trading point" ilikuwa inaitwa Dschagga (au imerekodiwa hivyo na wazungu zamani).

Traces za wahabashi, wasomali, wamasai, wataita, wameru, zipo mpaka leo. Boma ng'ombe pale kilikuwa kituo kikubwa cha wahabashi na wasomali kuuzia mifungo yao toka enzi na enzi.

Hilo la wachaga kuwa ni wakuja Tanganyika lipo wazi kabisa.

Na wachaga wote siyo wabantu, ni mchanganyiko maalum.
 
Back
Top Bottom