Kwanini Mungu hakuumba dhahabu uchagani?

Kwanini Mungu hakuumba dhahabu uchagani?

Hata wasukuma Walipoanzisha makazi ukanda ule hawakujua kuna dhahabu na almasi. Lakini pia kumbuka wachagga hawavuni mali kutoka Rombo, Marangu, Kibosho na Machame. Wachagga walichuma na wanaendelea kuchuma mali kutoka pande mbali mbali za nchi na dunia kwa ujumla. Utajiri siyo rasilimali, utajiri ni akili. Wachagga walipata elimu mapema na wakajua kubadilisha kuwa pesa. Wahaya na Wanyakyusa walipata elimu mapema wakabadilisha kuwa sifa, kiburi na dini.
Wakinga hawana elimu ya kitaaluma mbali mbali kivile, hakuna dhahabu wala utalii kwao lkn wana akili ya kutafuta pesa. Kwa utajiri na mbinu zake ni mpana.
Hayo yote walifanyoka kwa sababu ya wakoloni kukaa maeneo hayo! Lakini saizi kila kona ya nchi watu wamesoma na wanafanya biashara!
 
Sio kweli km ni juhudi za kuwadhoofisha ngozi nyeusi kwnn ngozi nyeusi isipambane kuwadhoofisha hao weupe?

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Waafrika Walichelewa kufikiri Wakajikuta mtegeno na baadhi ya historia zao kufutwa na kubezwa..
Chukulia mfano wa Machief wetu tu Tanzania jinsi walivyojikuta katika ukoloni...

Hivi unajua kama Eurasia Migration ilitokea Africa na unajua Wanasayansi wamethibitisha kwamba Wazungu na waarabu walitokea Afrika kwa DNA investigation...

Na kingine kama wewe msomi wa Biblia utangundua Hata picha Ya Suleiman inayoonyeshwa kama nabii ni tofauti na suleiman mwwnyewe alivyo...

Soma Song of solomon 1:5
Screenshot_20231103-125908.png

Suleiman mwenyewe picha zake nyingi zinamuonyesha hivi.. UNAONA NI SAWA
images - 2023-11-03T130206.317.jpeg
 
Waafrika Walichelewa kufikiri Wakajikuta mtegeno na baadhi ya historia zao kufutwa na kubezwa..
Chukulia mfano wa Machief wetu tu Tanzania jinsi walivyojikuta katika ukoloni...

Hivi unajua kama Eurasia Migration ilitokea Africa na unajua Wanasayansi wamethibitisha kwamba Wazungu na waarabu walitokea Afrika kwa DNA investigation...

Na kingine kama wewe msomi wa Biblia utangundua Hata picha Ya Suleiman inayoonyeshwa kama nabii ni tofauti na suleiman mwwnyewe alivyo...

Soma Song of solomon 1:5
View attachment 2802369

Suleiman mwenyewe picha zake nyingi zinamuonyesha hivi.. UNAONA NI SAWA
View attachment 2802370
Huyo suleiman halisi ni picha yake ipo wapi nione?

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom