FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
Swali nimekujibu lakini hujaelewa.Ujajibu swali " Ni wakati gani Mungu wako anafahamu kuwa wewe ni mtu wa motoni au wapeponi " kabla ujazaliwa au baada ya kuzaliwa ?hapa ndipo penye swali
"Wakati" kwa Mwenyeezi Mungu hauna uwiano na wakati kwako.
Halafu hiyo sentensi kwa "Mungu wako" huo ni uchokozi na lugha isiyo na staha.
MWENYEZI mungu wangu ni Allah. Wako ni yupi?
Allah anayajuwa ya kabla na baada ya "wakati" wako.