Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

  • Thread starter Hakimu Mfawidhi
  • Start date
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
938
Points
1,000
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
938 1,000
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro ambao in fact haupo kwa sababu mungu hajaonyesha kuwepo, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mungu ameshindwa kabisa kutuonyesha kua kweli anatupenda kama anavyosemwa, ameshindwa kuonyesha kweli kua anajali Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.

Nyongeza ya mjumbe.
Naongezea

Kwanini baada ya adam na hawa kula lile tunda walijikuta wapo uchi, halafu akaagiza malaika wawafukuze akihofia wanaweza wakala tunda la mema wakaja kua kama yeye?

Kwanini adam na hawa baada ya kula lile tunda ambalo walishawishiwa na shetani mungu alitoa hukumu ya vifo kwa adamu na hawa tu halafu shetani akamuacha ale bata tu?

Kwanini yesu atoe pepo ahamishie kwenye nguruwe badala ya kuyaua? Huoni kama nguruwe ilifanyiwa fitna kwa serikali ya sasa hivi yesu angehukumiwa kwa kufanya ukatili dhidi ya wanyama na taasisi za haki za wanyama

Kwanini wachungaji wanatoa mapepo badala ya kuyaua? Wangekua wanayaua kulikua na uwezekano mkubwa yakawa yamepotea kwenye uso huu wa dunia, lakini kwanini wayatoe je wameshindwa kuyaua?

Kwanini vitabu vya mungu vinadai kua sisi niwadhambi sana kiasi kwamba hatuwezi kufanya mawasiliano physically na mungu, halafu tunaona huyo huyo mungu anakutana na shetani na wanapiga stori kama ni marafiki wasiokua na uadui?? Je inamaana siye ni wadhambi sana kuliko shetani mwenyewe??
 
Napoleone

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
5,091
Points
2,000
Napoleone

Napoleone

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
5,091 2,000
Mkuu,maandiko meng ya kwenye vitab hiv tuvijuavyo SI ya kwel na kwsabab hyo yanafanya hyo concept yako kua invalid.

Maandiko haya meng ni ya kubun bun na ku connect dots kwa mabab zetu waliyooandika kutaka tuu kujua nin chanzo cha haya yote ulimwengun.

Usipende kuamin amin tuu mambo..na ndomana mambo meng kwenye maandiko hayako kwenye mstar m1 sabab si ya kwel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daghaseta

Daghaseta

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Messages
273
Points
500
Daghaseta

Daghaseta

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2015
273 500
Mimi hiyo pia niliifikiria sana nikajiuliza;

Kwanini Mungu kabla ya kumuumba mwanadamu hakumfungia shetani huko kuzimu mpaka siku ya kyama?

Kwanini Mungu pale Bustani ya Edeni akaweka ule mti wenye yale matunda ambao Adamu na mkewe waliyala na kupata dhambi?

Na kwanini Mungu alipoona Adamu na mkewe wamekula lile tunda na kulikuwa na mti mwingine pale wa uzima wa milele, Mungu akawazuia wasile matunda yake wasije wakasamehewa makosa waliyofanya kwa kula ule wa mema na mabaya?

SIJAPATA JIBU, mwisho nikasema, Mungu anampenda binadamu sana, hivyo hakuna atakayechomwa moto, wote tutaenda peponi siku ya mwisho.
 
M

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
784
Points
1,000
M

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
784 1,000
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.
Itakuwa shetani ndiye kakutuma, maana hizi huwa ni point zake haswaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,579
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,579 2,000

Kweli kazi ipo
 
Kwanini shetani asikilizwi? watu wanaamini upande mmoja tu wa Mungu kuwa umesema kweli , vip kama shetani alisingiziwa hizo shutuma anazopewa na Mungu ?nasubiri majibu nijifunze
 
V

Vumilika

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
712
Points
1,000
V

Vumilika

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
712 1,000
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.
Hakimu Mfawidhi hivi wewe ulipokuwa unaandika hizi hoja zako ambazo hazina mantiki ulikuwa unataka Mungu akuzuie?
Kuna mamabo Mungu anataka sisi tuwe nayo hayo akayafanya siri na kuna mambo akataka sisi tuyatende hayo yakawa dhahiri.
Sasa Mungu akikuambia usiabudu mungu zaidi ya mimi, wewe ukaasi amri hii unataka akufanye nini?
Amekuamrisha usizini, usiibe, usilewe, usifanye khiyana, usiseme uongo, usile riba, usiue, usimtamani mke wa mwenzio, usidhulumu, ufanye ibada, utoe sadaka n.k. Kama maarisho hayajatekelezwa nini unataka kifanyike? Na Yeye Mungu ameshaweka kanuni zake, ikiwa kiumbe chake kitafanya kinyume na anavyotaka basi adhabu inamuhusu. Ujuzi wa Mungu hausiani na matendo yetu maovu, kwa kuwa biandamu na majini ni viumbe vilivyopewa khiyari yaani kuchagua mambo wanayotaka kuyafanya na huu ndiyo mtihani mkubwa. Mungu huwa hawaadhibu watu ambao ujumbe wake haujawafikia.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,229
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,229 2,000
Ayubu 1.6 na kuendelea.....
Wanaelewana sana...na muasi kumbe huwa anatumwa kwa waaminifu na wanaomcha Yeye!!!!!!!!!
Yani kuna kitu walokole na waislam (baadhi wenye misimamo mikali ya kiongofu) hawakifahamu vyema (mtaniwia radhi) Shetani ana mamlaka makubwa vibaya mno shetani si yule tunaodanganywa ana mapembe sijui ni mbaya wa sura ana kwato ni kiumbe cha maovu tunamkanyaga na kumchoma moto kila siku hivi mkuu tunamjua shetani vyema??😂😂

shetani aliyemuamuru mwana wa mungu (tunasema mwana wa mungu kwa sababu roho wa mungu yumo ndani yake) alibadilishe jiwe kuwa mkate na akajibiwa kwa hekima si hovyohovyo kuwa una nini wewe shetani mpuuzi tu embu fikiri yale mamlaka aliyonayo anampandisha juu ghorofani yesu mwana wa mungu najaribu tu kuwaza hayo mamlaka!
 
M

Maalim Wu

Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
62
Points
125
M

Maalim Wu

Member
Joined Jan 12, 2018
62 125
Shetani wapo wa Aina 2, shetani wa kijini na shetani wa kibinaadam, hawa wote ni maagent wa iblisi, mtoa post na waunga mkono post jiulizeni je, mpo ktk kundi gani kati ya hayo mawili? By the way , Islam has an answer of all the posed questions.
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
5,799
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
5,799 2,000
Mimi hiyo pia niliifikiria sana nikajiuliza;

Kwanini Mungu kabla ya kumuumba mwanadamu hakumfungia shetani huko kuzimu mpaka siku ya kyama?

Kwanini Mungu pale Bustani ya Edeni akaweka ule mti wenye yale matunda ambao Adamu na mkewe waliyala na kupata dhambi?

Na kwanini Mungu alipoona Adamu na mkewe wamekula lile tunda na kulikuwa na mti mwingine pale wa uzima wa milele, Mungu akawazuia wasile matunda yake wasije wakasamehewa makosa waliyofanya kwa kula ule wa mema na mabaya?

SIJAPATA JIBU, mwisho nikasema, Mungu anampenda binadamu sana, hivyo hakuna atakayechomwa moto, wote tutaenda peponi siku ya mwisho.
Naongezea

Kwanini baada ya adam na hawa kula lile tunda walijikuta wapo uchi, halafu akaagiza malaika wawafukuze akihofia wanaweza wakala tunda la mema wakaja kua kama yeye?

Kwanini adam na hawa baada ya kula lile tunda ambalo walishawishiwa na shetani mungu alitoa hukumu ya vifo kwa adamu na hawa tu halafu shetani akamuacha ale bata tu?

Kwanini yesu atoe pepo ahamishie kwenye nguruwe badala ya kuyaua? Huoni kama nguruwe ilifanyiwa fitna kwa serikali ya sasa hivi yesu angehukumiwa kwa kufanya ukatili dhidi ya wanyama na taasisi za haki za wanyama

Kwanini wachungaji wanatoa mapepo badala ya kuyaua? Wangekua wanayaua kulikua na uwezekano mkubwa yakawa yamepotea kwenye uso huu wa dunia, lakini kwanini wayatoe je wameshindwa kuyaua?

Kwanini vitabu vya mungu vinadai kua sisi niwadhambi sana kiasi kwamba hatuwezi kufanya mawasiliano physically na mungu, halafu tunaona huyo huyo mungu anakutana na shetani na wanapiga stori kama ni marafiki wasiokua na uadui?? Je inamaana siye ni wadhambi sana kuliko shetani mwenyewe??Sent using unknown device
 
Forum statistics

Threads 1,342,563
Members 514,702
Posts 32,755,722
Top