Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

  • Thread starter Hakimu Mfawidhi
  • Start date
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
860
Points
1,000
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
860 1,000
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro ambao in fact haupo kwa sababu mungu hajaonyesha kuwepo, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mungu ameshindwa kabisa kutuonyesha kua kweli anatupenda kama anavyosemwa, ameshindwa kuonyesha kweli kua anajali Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.

Nyongeza ya mjumbe.
Naongezea

Kwanini baada ya adam na hawa kula lile tunda walijikuta wapo uchi, halafu akaagiza malaika wawafukuze akihofia wanaweza wakala tunda la mema wakaja kua kama yeye?

Kwanini adam na hawa baada ya kula lile tunda ambalo walishawishiwa na shetani mungu alitoa hukumu ya vifo kwa adamu na hawa tu halafu shetani akamuacha ale bata tu?

Kwanini yesu atoe pepo ahamishie kwenye nguruwe badala ya kuyaua? Huoni kama nguruwe ilifanyiwa fitna kwa serikali ya sasa hivi yesu angehukumiwa kwa kufanya ukatili dhidi ya wanyama na taasisi za haki za wanyama

Kwanini wachungaji wanatoa mapepo badala ya kuyaua? Wangekua wanayaua kulikua na uwezekano mkubwa yakawa yamepotea kwenye uso huu wa dunia, lakini kwanini wayatoe je wameshindwa kuyaua?

Kwanini vitabu vya mungu vinadai kua sisi niwadhambi sana kiasi kwamba hatuwezi kufanya mawasiliano physically na mungu, halafu tunaona huyo huyo mungu anakutana na shetani na wanapiga stori kama ni marafiki wasiokua na uadui?? Je inamaana siye ni wadhambi sana kuliko shetani mwenyewe??
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
8,201
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
8,201 2,000
1. Usinitoe kwenye njia neno " ameshaamua", nimelitumia kama mfano , iko hivi kama Mungu wangu alipokuumba alishajua kuwa wewe Zuri ni mtu wa motoni maana Mungu anakujua wapi utaenda kabla ata ajakuumba, lakini wewe usiejua wapi utaenda ndio unaangaika maana ujui kitu juu ya future yako , hivyo alichopanga Mungu kabla ajakuumba hakuna wa kukibadilisha ata uruke ruke kama maharage, hivyo hapa hakuna uhuru zaidi ya ule wa bendera
Leo utabadilisha msamiati wote,umetoja kwenye kuamua ukasema ulitolea mfano naona umekuja kwenye kupanga sasa.

Huko nyuma nilikupa ufafanuzi mzuri sana na mwepesi mno na nikakupa kanuni ya kuwa "Maombi yanabadilisha makadirio" na ndio maana una uhuru wa kuchagua na uhuru wa kufikiria pia,na kuna swali nilikuuliza lakini hukujibu na hapa nakuuliza tena "Wewe unapoamu kufanya jambo baya lakini nafsi ikakataa na ukafanya jema" ,hapo unakuwa umetumia uhuru au umeshinikizwa ?
2.Kwa Mungu ni marudio maana matendo yako aliyajua yote kwa usahihi wake kabla ata ajakuumba na bahati nzuri hakuna wa kubadilisha katika mipango yake , wewe ndio ujui kitu kwako ndio jambo jipya hakuna marudio kwako ahahaaaahahahaahaa pole sana
Acha utoto na kubisha ujinga,marudio haina maana hiyo,marudio ni sharti jambo liwe limefanywa hapo kabla.

Nakupa mfano tena ili uone ya kuwa wewe ni mtu huru.

Nikikwambia "Beba jiwe hili" ukasema "Sibebi" hapo unakuwa umetumia nini ?

Kisha nikakwambia "Beba jiwe lile kule" ukalinyanyua kisha ukashindwa,hapo umetumia nini ? Uhuru au ?

Kisha nikakwambia "Beba jiwe la kule nwisho" kisha ukalibaba na ukaweka mahala husika,hapo umetumia nini ?

Hiyo ni mifano katika upande wako weww mwanadamu.

Upande wa Mola ni kujua na kukupa wewe nyenzo husika ambazo ni "Strong wills" na "Complete strength".
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Nimekuuliza hivyo kwasababu ya uandishi wako unaonekana mwenyezi mungu kakuwekea pazia zito kabisa unashindwa hata kujifunza kwa mifano
Mwambie alitoe kama alikwambia kaniwekea pazia
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Leo utabadilisha msamiati wote,umetoja kwenye kuamua ukasema ulitolea mfano naona umekuja kwenye kupanga sasa.

Huko nyuma nilikupa ufafanuzi mzuri sana na mwepesi mno na nikakupa kanuni ya kuwa "Maombi yanabadilisha makadirio" na ndio maana una uhuru wa kuchagua na uhuru wa kufikiria pia,na kuna swali nilikuuliza lakini hukujibu na hapa nakuuliza tena "Wewe unapoamu kufanya jambo baya lakini nafsi ikakataa na ukafanya jema" ,hapo unakuwa umetumia uhuru au umeshinikizwa ?

Acha utoto na kubisha ujinga,marudio haina maana hiyo,marudio ni sharti jambo liwe limefanywa hapo kabla.

Nakupa mfano tena ili uone ya kuwa wewe ni mtu huru.

Nikikwambia "Beba jiwe hili" ukasema "Sibebi" hapo unakuwa umetumia nini ?

Kisha nikakwambia "Beba jiwe lile kule" ukalinyanyua kisha ukashindwa,hapo umetumia nini ? Uhuru au ?

Kisha nikakwambia "Beba jiwe la kule nwisho" kisha ukalibaba na ukaweka mahala husika,hapo umetumia nini ?

Hiyo ni mifano katika upande wako weww mwanadamu.

Upande wa Mola ni kujua na kukupa wewe nyenzo husika ambazo ni "Strong wills" na "Complete strength".
1. Hoja yako ya maombi ni dhaifu sana , kwasababu kabla ujafikiria kuomba huyo Mungu wako alishajua , yaani unapita mule mule kwenye mipango yake, tena kama kukubali au kukataa maombi pia alishajua kitambo , unachofanya ww ni kujitekenya na kucheka mwenyewe

2.Mungu anajua kila kitu mpaka namna gani hizo nyenzo zinatumika sasa wewe unaona nyenzo ni jambo kubwa , wakati majibu na matumizi ya nyenzo zile Mungu wako anajua ata kabla ujazitumia huyu vip ahahahhahaahaahaa
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Tafuta dini kwanza harafu ndo ujadili habar ya dini kama dini huna ukijadili dini sawa sawa unabishana tu
Wewe kweli zero , tunajadili mambo ya bunge humu kwanini sisi ni wabunge ? tafuta maarifa sio dini wewe ahahhaahaaaha
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
8,201
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
8,201 2,000
Nani kauliza mimi nimekwambia chanzo cha dhambi ni Mungu wako . kama unapinga hili niambie ? sio unaniletea story ambazo azieleweki mara morogoro sijui moto
Najua huna uwezo wa kujibu maswali yale.

Ulipoambiwa Mola ameumba dhambi kama unatumia akili vizuri hukupaswa tena kuuliza au kutaka kujua chanzo cha dhambi,haoa umefanya matumizi mabaya ya akili.

Kuwepo kwa dhambi ni jambo moja nakuitenda dhambi ni jambo lingine. Kwa maana hiyo ndio maana ule mfano wa Morogoro uliukimbia.
 
M

Mbolabilika

Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
66
Points
125
M

Mbolabilika

Member
Joined Jul 30, 2019
66 125
Huyu ni muhuni mvuta bangi kwa muonekano tu wamaandishi unaweza kujua tabia yake cjui kama anawajal hata wazazi wake
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Kama kweli we unajiamuli bac jinusuru na shari inayokuja mbele yako ikiwa pamoja na kifo au unaamini hutokufa?
Kifo ni jambo la kutokea sio kuamini , ahahaahha kwani kuzaliwa nilizuia ?
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Najua huna uwezo wa kujibu maswali yale.

Ulipoambiwa Mola ameumba dhambi kama unatumia akili vizuri hukupaswa tena kuuliza au kutaka kujua chanzo cha dhambi,haoa umefanya matumizi mabaya ya akili.

Kuwepo kwa dhambi ni jambo moja nakuitenda dhambi ni jambo lingine. Kwa maana hiyo ndio maana ule mfano wa Morogoro uliukimbia.
Chanzo cha dhambi ni Mungu mwenyewe wala hakuna mwengine , unapenda kuzungumza visivyokuwepo wakati vya msingi unakimbia kimbia
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Huyu ni muhuni mvuta bangi kwa muonekano tu wamaandishi unaweza kujua tabia yake cjui kama anawajal hata wazazi wake
Kujali wazazi hili nalo unahitaji ufundishwe kweli !! halafu umejuaje mimi mvuta bangi ? kijana jikite kwenye mambo ya msingi
 
M

Mbolabilika

Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
66
Points
125
M

Mbolabilika

Member
Joined Jul 30, 2019
66 125
Huyu mpagani yupo kwa kubishan wala c kujifunza sasa ni sawa unapoteza muda tu mtu ukimwambia yule aliekua juu kunguru yeye akiamua kusema yule mbuzi hata umwabiaje hatoelewa ndo kashaamua kusema mbuzi sasa hapo ni sawa na kubishana sio kujadiliana
Najua huna uwezo wa kujibu maswali yale.

Ulipoambiwa Mola ameumba dhambi kama unatumia akili vizuri hukupaswa tena kuuliza au kutaka kujua chanzo cha dhambi,haoa umefanya matumizi mabaya ya akili.

Kuwepo kwa dhambi ni jambo moja nakuitenda dhambi ni jambo lingine. Kwa maana hiyo ndio maana ule mfano wa Morogoro uliukimbia.
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Huyu mpagani yupo kwa kubishan wala c kujifunza sasa ni sawa unapoteza muda tu mtu ukimwambia yule aliekua juu kunguru yeye akiamua kusema yule mbuzi hata umwabiaje hatoelewa ndo kashaamua kusema mbuzi sasa hapo ni sawa na kubishana sio kujadiliana
Mbona unalialia humu kama hauna cha kuandika kaa pembeni upate elimu mbadala
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
8,201
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
8,201 2,000
1. Hoja yako ya maombi ni dhaifu sana , kwasababu kabla ujafikiria kuomba huyo Mungu wako alishajua , yaani unapita mule mule kwenye mipango yake, tena kama kukubali au kukataa maombi pia alishajua kitambo , unachofanya ww ni kujitekenya na kucheka mwenyewe
Naona unaendelea kuonyesha ufinyu wako wa kufikiri.
.Mungu anajua kila kitu mpaka namna gani hizo nyenzo zinatumika sasa wewe unaona nyenzo ni jambo kubwa , wakati majibu na matumizi ya nyenzo zile Mungu wako anajua ata kabla ujazitumia huyu vip ahahahhahaahaahaa
Ndio maana nikasema hivi kujua kwake hayo hakukuzuii weww kutenda mambo yako,ndio maana unatenda unavyotaka na unatumia akili na unatumia hisia.

Naona maswali yangu unayakwepa. Unapo ambiwa jambo fulani baya usilifanye ltakudhuru wewe ukalifanya,hapo unakuwa umefanyiwa au umefanya kwa mapenzi yako au umeshinikizwa ?

Nakupa teba mfano mwingine sababu unakwepa maswali yangu. Mfano una mtoto na unamjua kabisa huyu mtoto tabia yake,mfano ukimpa hela huwa anaenda kufanya nini,ukampa hela kisha akafanya kile unachokijua,hapo utasemaje ? Yaani ukasema hivi "Fulani nikimpa hela tu huwa najua lazima atanunua pipi tu". Je hapa huyu mtoto anakuwa amelazimishwa au ametumia uhuru wake na hali ya kuwa hilo weww unalijua ? Ndio maana narudi kule kule ya kuwa kujua kwake wewe hakukuzuii kufanya jambo.

Naendelea ......
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
8,201
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
8,201 2,000
Huyu mpagani yupo kwa kubishan wala c kujifunza sasa ni sawa unapoteza muda tu mtu ukimwambia yule aliekua juu kunguru yeye akiamua kusema yule mbuzi hata umwabiaje hatoelewa ndo kashaamua kusema mbuzi sasa hapo ni sawa na kubishana sio kujadiliana
Uko sahihi kabisa hawa huwa hawaumizi kichwa na ni hodari wa kukuwepa maswali.

Yaani wanabisha tu.
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,183
Points
2,000
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
1,183 2,000
Ok wanatheolojia wanasema.

Baada ya shetan kuovu.. Hakutupwa siku iyoiyo.

Bali alipewa nafasi kadhaaa wa kadhaa kujisahihisha.

Shetan mpaka akawa anafuatwa na washaur wakimsihi kabisaa atubu wapiiiiiiiu.

Shetan akaachiwa siku kadhaa ajitathimin nakutubu wapiiiu
Njia pekee ikawa ni kumtoa eneo la watakatifu.

Unajua Mungu ni Mfalme, wa haki na huruma nareehema.
Kwa namana ulivyoandika tu inadhihirisha kuwa ni mafundisho ya viongozi wa dini tena kwa watoto ya kulazimisha shetani aonekane ana hatia

Si unajua vitoto vya siku hizi vinajiongeza kwaiyo lazima wavipange mapema
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Naona unaendelea kuonyesha ufinyu wako wa kufikiri.

Ndio maana nikasema hivi kujua kwake hayo hakukuzuii weww kutenda mambo yako,ndio maana unatenda unavyotaka na unatumia akili na unatumia hisia.

Naona maswali yangu unayakwepa. Unapo ambiwa jambo fulani baya usilifanye ltakudhuru wewe ukalifanya,hapo unakuwa umefanyiwa au umefanya kwa mapenzi yako au umeshinikizwa ?

Nakupa teba mfano mwingine sababu unakwepa maswali yangu. Mfano una mtoto na unamjua kabisa huyu mtoto tabia yake,mfano ukimpa hela huwa anaenda kufanya nini,ukampa hela kisha akafanya kile unachokijua,hapo utasemaje ? Yaani ukasema hivi "Fulani nikimpa hela tu huwa najua lazima atanunua pipi tu". Je hapa huyu mtoto anakuwa amelazimishwa au ametumia uhuru wake na hali ya kuwa hilo weww unalijua ? Ndio maana narudi kule kule ya kuwa kujua kwake wewe hakukuzuii kufanya jambo.

Naendelea ......
Mifano unayotoa inachekesha sana mimi kama baba naweza kujua jambo lakini lisitokee( hakuna ajabu ), tofauti na Mungu wako analolijua ndio linalotokea , bahati nzuri anayajua mambo kabla ata ayajafanyika na ata yakifanyika yatatoa majibu sawa na kile alichokuwa anajua kuwa kitafanyika. huu ndio uhuru wa bendera wewe endelea kurukaruka tu
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,137
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,137 2,000
Uko sahihi kabisa hawa huwa hawaumizi kichwa na ni hodari wa kukuwepa maswali.

Yaani wanabisha tu.
Acheni kujifariji vijana ,hakuna jambo wewe Zuri utalifanya Mungu wako akulijua kabla , yote anayajua kabla ayajatokea na baada ya kutokea , wewe ni bendera fuata upepo
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
8,201
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
8,201 2,000
Chanzo cha dhambi ni Mungu mwenyewe wala hakuna mwengine , unapenda kuzungumza visivyokuwepo wakati vya msingi unakimbia kimbia
Chanzo cha kufanya dhambi au kuumba dhambi ? Unatakiwa uweke wazi hapa.
 
Forum statistics

Threads 1,326,242
Members 509,448
Posts 32,215,577
Top