Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 344
- 1,554
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.
1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na wanadamu,Je? Mapenzi ya MUNGU wetu kwa mwanadamu ni yapi?
(b) Kipi ni rahisi kumtoa mwanao wa pekee?? Na mwanae wa pekee ametolewa je dhambi zimeisha????Au kumuua Shetani ambaye tunaamini ndiyo chanzo cha uovu, je hili MUNGU hakuliona hili ili kusudi dhambi iishe?
2(a) Bibilia inasema MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, Je? Wivu sio viashilia vya kuwa na roho mbaya??? Mbona mwanadamu ukiwa na wivu au husuda inaonekana wewe ni mtu mwenye dhambi??? Sasa kama mwanadamu Wivu amerithi kutoka kwa muumba wake iweje wivu kwa mwanadamu ni kosa?(dhambi).
(b) Bibilia inasema Shetani(Lucifer) alikuwa ni Malaika mkuu wa kusifu na kuabudu,ndugu watumishi namaanisha alikua anasifu balaa sasa na hakujua chochote kuhusu dhambi, Je? Hiyo roho ya kujiinua kutaka kumzidi Muumba wake ilitoka wapi?
3: Bibilia inasema MUNGU akamuuliza Shetani unatoka wapi?
Shetani akajibu natoka huko Duniani,
Watumishi wenzangu hawa wanapata muda wa kukaa na kututeta sisi(inafikirisha)
Hivyo basi nadhani huu ni muda mwafaka wa kuwa na vitabu viwili,
Shetani hajapewa nafasi ya kujipambanua tu na kumwaga sera zake pia, huenda tungeyajua mengi yaliyofichika, hapa namaanisha kuwepo na Bibilia ya MUNGU na Bibilia ya Shetani.
Mwisho kabisa: Mimi mfilisiti ukinikuta na pokea sakramenti ya Bwana hutoamini kuwa ndiyo mimi?😀🙄 Mwisho wa siku haya mambo hayanabudi kutokea.