Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,250
- 2,870
AiseeUnge kuww wewe ndio mugabe unge udhulia

Sasa angemponda vipi wakati mwenyewe miaka yote 37 ya Mugabe alikuwa part and parcel ya serikali.Kibinadamu Mugabe alishindwa kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya, lakini pamoja na ubinadamu huo alipaswa kujikakamua na kuondoa udhaifu huo.
Mbona rais aliyeapishwa alifanyiwa mabaya na Mugabe lakini kwenye hotuba baada ya kuapishwa alimsifu sana Mugabe na kumwita "Baba wa taifa?" Pamoja na uozo mwingi kwenye utawala wa Mugabe, Munagangwa hakumponda Mugabe kwa chochote.
Kwa kutohudhuria sherehe za kuapishwa rais mpya Mugabe ametenda kosa la kidiplomasia na protokali.Halafu badala kutafuta kauli nzuri ya kusahihisha kosa hilo anamwaga petroli kwenye moto kwa kusema: "Utawezaje kuhudhuria harusi ya mpenzi wako wa zamani anayeolewa na mtu mwingine?"
Mugabe ni mjinga sana, na ndio maana yalimtokea yaliyomtokea.
Kwani hizo quotes kwenye mitandao ni za Mugabe kweli au watu wanazusha ?Kibinadamu Mugabe alishindwa kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya, lakini pamoja na ubinadamu huo alipaswa kujikakamua na kuondoa udhaifu huo.