Kwanini Mugabe hakuhudhuria sherehe za kuapishwa Mrithi wake.

Kwanini Mugabe hakuhudhuria sherehe za kuapishwa Mrithi wake.

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,851
Reaction score
7,764
Habari zenu jukwaa la siasa. Niende madani, Rais mpya wa Zimbabwe kashaapishwa.
Kwanini Mugabe hakuhudhuria tukio hili muhimu licha ya kudaiwa karidhia kujiuzulu? Itifaki imekaaje ktk kukabidhiana mambo muhimu hadharani tofauti na yale nyeti ya ofisi?
Mwanzoni tuliambiwa Mugabe atakagua gwaride na kumpisha Rais mpya pia akague. Nini kimetokea?
 
Mugaben ni mgonjwa jmn.
Ameadhirika na kirusi aina ya sychology.
Hvo hawezi enda tembea kwa ukakamavu.
 
4202f3935e848f303eb2dfdcbf9e8dc3.jpg
 
Mugabe kuhudhuria ni sawa na Mwanaume kuhudhuria harusi ya aliyekua mkewe (aliyemwacha kwa talaka), anayeolewa na mwanaume mwingine, tena Huyo mwoaji ni mmoja wa wabaya wako.
Et uhudhulie kwa vile mlipeana taraka kwa amani
 
Kibinadamu Mugabe alishindwa kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya, lakini pamoja na ubinadamu huo alipaswa kujikakamua na kuondoa udhaifu huo.
Mbona rais aliyeapishwa alifanyiwa mabaya na Mugabe lakini kwenye hotuba baada ya kuapishwa alimsifu sana Mugabe na kumwita "Baba wa taifa?" Pamoja na uozo mwingi kwenye utawala wa Mugabe, Munagangwa hakumponda Mugabe kwa chochote.

Kwa kutohudhuria sherehe za kuapishwa rais mpya Mugabe ametenda kosa la kidiplomasia na protokali.Halafu badala kutafuta kauli nzuri ya kusahihisha kosa hilo anamwaga petroli kwenye moto kwa kusema: "Utawezaje kuhudhuria harusi ya mpenzi wako wa zamani anayeolewa na mtu mwingine?"

Mugabe ni mjinga sana, na ndio maana yalimtokea yaliyomtokea.
 
Alitaka afie kwenye hicho cheo, halafu wale waliosema kwamba mugabe alipanga haya mapinduzi atajitafakari upya.
 
Kibinadamu Mugabe alishindwa kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya, lakini pamoja na ubinadamu huo alipaswa kujikakamua na kuondoa udhaifu huo.
Mbona rais aliyeapishwa alifanyiwa mabaya na Mugabe lakini kwenye hotuba baada ya kuapishwa alimsifu sana Mugabe na kumwita "Baba wa taifa?" Pamoja na uozo mwingi kwenye utawala wa Mugabe, Munagangwa hakumponda Mugabe kwa chochote.

Kwa kutohudhuria sherehe za kuapishwa rais mpya Mugabe ametenda kosa la kidiplomasia na protokali.Halafu badala kutafuta kauli nzuri ya kusahihisha kosa hilo anamwaga petroli kwenye moto kwa kusema: "Utawezaje kuhudhuria harusi ya mpenzi wako wa zamani anayeolewa na mtu mwingine?"

Mugabe ni mjinga sana, na ndio maana yalimtokea yaliyomtokea.
Hayo maneno ulioweka ktk quotation, una uhakika kayasema Comrade Robert Gabriel Mugabe?
 
.Halafu badala kutafuta kauli nzuri ya kusahihisha kosa hilo anamwaga petroli kwenye moto kwa kusema: "Utawezaje kuhudhuria harusi ya mpenzi wako wa zamani anayeolewa na mtu mwingine..

Hajasema maneno hayo ila anazushiwa tu kwa hizo " Mugabe's Quotes. Ila pia bado watu wana hasira nae na huenda ilikuwa busara kutoonyesha sura yake kuepusha vurugu zisizo za lazima
 
Kuna watu wange zomea hivyo kuharibu utamu wa sherehe Na mengineyo
 
Back
Top Bottom