cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,473
- 188,319
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu utakuta ana degree ya Udom anatafuta uteuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu utakuta ana degree ya Udom anatafuta uteuzi
NakumbukaMama mwenyewe aliwahi kutamka "chawa wangu..."
MaCCM wote ni machawa kwa luwa wanajali maisha yao zaidi ya maisha ya watanzania walio wengiKupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?
Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?
Mtu kuwa CCM mnaita uchawa?
Kila chenu ni hoja, kila cha wenzenu ni ubaya.
Silaha pekee mnazozitegemea ni udhalilishaji na kutafuta watu kasoro.... Alooo!
View attachment 2965445
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu, khaaahPunguza maswali ya kijinga ewe chawa. Umekimbilia JF kujitangaza upate cheo.
Hakika 😆😆😆😆Apewe na hii ya uzinduzi wa chwa wa mama DSM
View attachment 2965520
Hapo anataka aonekane apate uteuzi tu mara DAS, DED, DC n.kHuyu utakuta ana degree ya Udom anatafuta uteuzi
Nikushauri tu, JF ina watu wa kila aina na wa kila itikadi. Kuna watu wana data humu za hatari. Kuna watu wallishasakwa na serikali humu kisa makolokolo ya bandarini huko waliyaweka humu. Hivyo, unapoweka bandiko lolote, uhakikishe una data za kujibu hoja za watu. Usije ukaingia humu kwa kukaririshwa mambo yaliyo nje ya humu halafu ukataka watu waende unavyotaka..!!! JIPANGE KWA HOJA, VINGINEVYO UTACHEKESHA KILA SIKU UNAYOPOST KITU HUMU.Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?
Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?
Mtu kuwa CCM mnaita uchawa?
Kila chenu ni hoja, kila cha wenzenu ni ubaya.
Silaha pekee mnazozitegemea ni udhalilishaji na kutafuta watu kasoro.... Alooo!
View attachment 2965445
Si mkaijadili kwenye vikao vyenu..!!Komredi Janeth wapuuze hao. Njoo PM tujadili ilani ya chama chetu cha Mapinduzi.
Chawa si tu kwa mtu anakua na mahusiano na chama fulani, ni mtu anaesifu kupitiliza, kusifia kuliko pitiliza mtu au kitu au jambo ambalo dhahiri ni kinyume na maadili, sheria, tamaduni na taraibuKupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?
Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?
Mtu kuwa CCM mnaita uchawa?
Kila chenu ni hoja, kila cha wenzenu ni ubaya.
Silaha pekee mnazozitegemea ni udhalilishaji na kutafuta watu kasoro.... Alooo!
View attachment 2965445
JF ndo jukwaa la watabe hapa Tanzania. Hata Twitter haingii ndani.Nikushauri tu, JF ina watu wa kila aina na wa kila itikadi. Kuna watu wana data humu za hatari. Kuna watu wallishasakwa na serikali humu kisa makolokolo ya bandarini huko waliyaweka humu. Hivyo, unapoweka bandiko lolote, uhakikishe una data za kujibu hoja za watu. Usije ukaingia humu kwa kukaririshwa mambo yaliyo nje ya humu halafu ukataka watu waende unavyotaka..!!! JIPANGE KWA HOJA, VINGINEVYO UTACHEKESHA KILA SIKU UNAYOPOST KITU HUMU.
DahNyie wenyewe ndiyo mnajitambulisha hivyo. Ngoja ugeuzwe asusa kwanza watu wapigiane pasi fupi fupi ndiyo watakufikiria,ila kuliwa lazima uliwe kwanza.
Hata Katiba yenyewe anaijua? Hapo anawaza kujipromote alambe uteuzi tuusisikilize ya mtandaoni binti yangu
kua mzalendo kwa taifa na ishi katika ilani ya chama cha mapinduzi sanjari na kuilinda katiba ya jamuhuri ya mungano wa tanzania
Humu kuna spana hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu, khaaah
Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?
Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?
Mtu kuwa CCM mnaita uchawa?
Kila chenu ni hoja, kila cha wenzenu ni ubaya.
Silaha pekee mnazozitegemea ni udhalilishaji na kutafuta watu kasoro.... Alooo!
View attachment 2965445
Jina chawa lina jielezaKupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?
Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?
Mtu kuwa CCM mnaita uchawa?
Kila chenu ni hoja, kila cha wenzenu ni ubaya.
Silaha pekee mnazozitegemea ni udhalilishaji na kutafuta watu kasoro.... Alooo!
View attachment 2965445
Ndjoo vhileee..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu, khaaah