ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 573
- 908
Mbona hujaandika namba ya simuKupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi [emoji3578]
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha mnaita kupinga kwa hoja?
Mtu kuamini usichoamini, mnaita kukaririshwa?
Mtu kuwa CCM mnaita uchawa?
Kila chenu ni hoja, kila cha wenzenu ni ubaya.
Silaha pekee mnazozitegemea ni udhalilishaji na kutafuta watu kasoro.... Alooo!
View attachment 2965445
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app