Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Ni mara nyingi hutokea mtu akala chakula fulani na yakatokea mambo mawili mabaya, kutapika au kuharisha ( japo pia sio lazima kutokea).
Mtu inapotokea amekula tu halafu akatapika, mara nyingi husema: YAN NIMEKULA CHAKULA LAKINI NIKAKITOA CHOTE. Na mara nyingi hufuatiwa na mtu huyo kusikia njaa tena na mwili kuwa mchovu.
Hali huwa tofauti kwa mtu aliyeharisha. Huwezi kusikia mtu amesikia njaa baada ya kuharisha, na wala huwezi kumsikia kulalamika kukitoa chakula chote hta kama tumbo lilichafuka baada tu ya kumaliza kula chakula.