Kwanini mtu akidharauliwa hapa JF anakuwa amedharauliwa kila mahali?

Bado sijaelewa nguvu hasa ya JF, bali ushahidi wa wazi unaonyesha kwamba ukishadharauliwa kwenye Jukwaa la siasa, kiuhakika ni kama unakuwa umedharauliwa dunia nzima, ukipuuzwa kwenye jukwaa hili ujue kabisa umepuuzwa kijijini kwenu, wilayani hadi mkoani na usipojirekebisha waweza kuwa ndio ushapuuzwa milele.

Mifano ya watu waliopuuzwa kwanza hapa jf na baadaye wakapuuzwa kwao na dunia nzima ni mingi, Hakuna haja ya kutaja hadharani, bila shaka hapa jf wanafahamika.

Bali swali langu ni hili , hii JF na hasa Jukwaa la siasa lina nguvu gani kiasi cha kuteka dunia nzima?
Sisi hatuwafahamu hao watu.
Wataje tu hata watano
 
Thread imekaa KIHISIA zaidi......

Hapa wengi wanatumia FAKE ID's na wanajimwaga kuongea yale ambayo wanashindwa kuongea MBELE ZA WANAOWAHESHIMU/KUWAHOFU NA KUWAOGOPA.....Sasa inakuwaje kuhusianisha na UHALISIA huko waliko?!!!

Siempre JMT
 
Usiwasingizie .
Hasingiziwi mtu bali picha zinajieleza
images (24).jpeg

images (31).jpeg
 
Kudharauliwa na watu waliojificha kwenye fake IDs ni sawa na kudharauliwa na "Watu Wasiojulikana." 😊

Watu wamejificha kwenye ID fake lakini mawazo na mitazamo yao sio fake.

Vinginevyo JF isingekya na maana hata kidogo.

Kinachoangaliwa zaidi ni hoja, sio nani.
 
Watu wanapokuwa na madaraka wanasahau haya: Tena, aliwaambia wanafunzi wake, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyekuwa na wakili wake; huyu alishitakiwa kwake kuwa anatapanya mali zake. Akamwita, akamwambia, Ni habari gani hii ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya uwakili wako, kwa kuwa huwezi kuwa wakili tena. Yule wakili akasema moyoni mwake, Nifanyeje? Maana, bwana wangu ananiondolea uwakili. Kulima, siwezi; kuomba, naona haya. Najua nitakalotenda, ili nitakapotolewa katika uwakili, wanikaribishe nyumbani mwao. Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu? Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini. Kisha akamwambia mwingine, Na wewe wawiwani? Akasema, Makanda mia ya ngano. Akamwambia, Twaa hati yako, andika themanini. Yule bwana akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara;
 
Yaani unataka kila unachofikiria ww kiwe sawa kwa kila MTU kichwani mwake?otherwise watu unafundisha watu ramli chonganishi.
Humu kila MTU anatumia ID bandia sasa tutajuaje Fulani ndie kadharaulika hapa na kadharaulika mtaani pia?
 
siri ni moja, kwa sababu ya fake ID watu hutoa maoni yao ya kweli (honest opinion) au tunaskia inner voice za watu kupitia maandishi,

kwakuwa ni home of great thinkers wakifikia hatua ya kukudharau, means hata kwa wale wanaokujua in real life ID lazima wakudharau
UMEMALIZA MASTER πŸ™Œ
 
Yaani unataka kila unachofikiria ww kiwe sawa kwa kila MTU kichwani mwake?otherwise watu unafundisha watu ramli chonganishi.
Humu kila MTU anatumia ID bandia sasa tutajuaje Fulani ndie kadharaulika hapa na kadharaulika mtaani pia?
una uhakika kwamba kila mtu anatimia ID Bandia ?
 
Bado sijaelewa nguvu hasa ya JF, bali ushahidi wa wazi unaonyesha kwamba ukishadharauliwa kwenye Jukwaa la siasa, kiuhakika ni kama unakuwa umedharauliwa dunia nzima, ukipuuzwa kwenye jukwaa hili ujue kabisa umepuuzwa kijijini kwenu, wilayani hadi mkoani na usipojirekebisha waweza kuwa ndio ushapuuzwa milele.

Mifano ya watu waliopuuzwa kwanza hapa jf na baadaye wakapuuzwa kwao na dunia nzima ni mingi, Hakuna haja ya kutaja hadharani, bila shaka hapa jf wanafahamika.

Bali swali langu ni hili , hii JF na hasa Jukwaa la siasa lina nguvu gani kiasi cha kuteka dunia nzima?
Thread bila picha ni ubuyu bila Babu Issa
 
Kwasababu JF ni sample space ya Jamii Kubwa. Ndio maana hata Shujaa na watu wake walipambana sana kuifuta JF (Internet).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom