Kwanini mtoto awe Mali ya baba?

Kwanini mtoto awe Mali ya baba?

Hakuna mtu anaye miliki mtu mwingine..! Mtoto ni mali ya jamii tangu leo ujue hilo.
Labda huko kwenu Kigoma. Hebu jaribu kumtuma mtoto utakaemuona barabarani Manzese. Kama atakusikiliza basi ujue utaibiwa
 
Kwasababu Wanawake mwalimu wenu ni kipofu,so hatutaki watoto wetu wawe vipofu.
 
Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona).

Pesa ni mali yako lakini benki wanakuhifadhia na wanatake risk ktk kuzilinda. Je, kwakuwa benki wanakuhifadhia hizo pesa ni halali kuwa zao!?
 
Kiasili mwanamke akishaolewa, yeye mwenyewe na anavyovimiliki ni mali ya mumewe. Ni ujeuri tu wa kuishi na dhamira ya Mungu inayowafanya wanawake leo hii wajione wako sawa na wanaume. Na tutapata tabu sana kwa sababu tunaenda kinyume na utaratibu wa Mungu.
 
Kibubu kazi yake ni kupokea pesa kila ninapotiamo, ni kama hifadhi... Mimi ndio namiliki hiyo pesa...
Sio pesa tu, na kibubu chenyewe unakimiliki. Sasa kitakupangiaje kazi uliyoipa kuifanya. Umempa manii atoe watoto.
 
Hivi Mkulima akilima Shamba LAKE akavuna mazao YAKE. JE?? Mazao ni Mali ya Shamba au Mkulima? ! USINIJIBU
 
Back
Top Bottom