Kwanini mtoto awe Mali ya baba?

Kwanini mtoto awe Mali ya baba?

Kwa kuwa chromosomes ni nusu kwa nusu basi watoto nusu kwa nusu . Mf . Wa kwanza jina la baba wa pili jina la nama , kama watoto wanne basi 2 kwa baba na 2 kwa mama
 
I
Hivi ulishawahi kuona au kusikia mfano:- zubeda zainabu, mariam zurufa, Neema Joyce?
ipo ndugu nilisoma na kijana mmoja alikuwa anaitwa caleb sarah.aliwahi kutuambia baba yake alihit na kurun.baba yake aligoma kumtunza tangu yupo tumboni.na alikuwa na uwezo mkubwa tu.mama yake kwa hasira aliweka nadhiri huyu mtoto atakuwa na jina langu ili nimsahau baba yake.kwahio alipoanza shule akamuandikisha by that name.
 
Kwanini unaamini mtoto ni mali ya baba?au kwa sababu ya jina na ukoo! Hizo ni mbwembwe tu mtoto ni mali ya Mungu ambae kaja duniani kupitia baba na mama.

Ingekuwa kwamba mtoto akishakuwa mkubwa basi anakuwa responsible kwa baba tu hapo ningekuelewa.

Biologically mtoto ni wa wote.
 
I
ipo ndugu nilisoma na kijana mmoja alikuwa anaitwa caleb sarah.aliwahi kutuambia baba yake alihit na kurun.baba yake aligoma kumtunza tangu yupo tumboni.na alikuwa na uwezo mkubwa tu.mama yake kwa hasira aliweka nadhiri huyu mtoto atakuwa na jina langu ili nimsahau baba yake.kwahio alipoanza shule akamuandikisha by that name.
Kuna kiongozi mkubwa Now ni balozi. Anaitwa Asha Rose migiro
 
Kibubu kazi yake ni kupokea pesa kila ninapotiamo, ni kama hifadhi... Mimi ndio namiliki hiyo pesa...
 
Nimekaa nikatafakari saana

Hivi kwanini mtoto anakuwa Mali ya baba wakati kwa mawazo yangu Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona).

Baada ya hapo kabila, ukoo vyote anafata kwa baba.

Why??
Ukitunza ela kwenye kibubu ela ni ya kibubu au yako?
 
Hujafanya utafiti wa kutosha.
Wakikuyu mtoto ni mali ya mama.
Wamakonde pia mtoto ni mali ya mama ndio maana mmakonde humuamini mjomba kuliko baba.
Waembu wa Kenya nao utaoa utalipa mahari utaishia kufaidi puchi/nyapu tu mtoto ni wa mama.
Hizo ni mila POTOFU KAMA MILA zingine,,,,baba AMEWEKA MBEGU zake..matokeo ya MBEGU NI MIMBA,,sasa mtoto Wa nani?
 
uko sahihi. hata wazaramo pia ni matrilineal, actualy yapo makabila mengi tu ya aina hiyo tz
 
Hizo ni mila POTOFU KAMA MILA zingine,,,,baba AMEWEKA MBEGU zake..matokeo ya MBEGU NI MIMBA,,sasa mtoto Wa nani?
Oa mkikuyu wa Kenya. Siku mama akirudi Kwao Kenya ndio utaelewa somo. Ataondoka na watoto wote na hua anaanza na wakiume
 
Oa mkikuyu wa Kenya. Siku mama akirudi Kwao Kenya ndio utaelewa somo. Ataondoka na watoto wote na hua anaanza na wakiume
Aondoke anapitia wapi? kama wao wana mila zao na Mimi Nina mila zangu,na especially tumeoana kwa DINI..na dini ZOTE zinambeba BABA ndy MKUU
 
Aondoke anapitia wapi? kama wao wana mila zao na Mimi Nina mila zangu,na especially tumeoana kwa DINI..na dini ZOTE zinambeba BABA ndy MKUU
Hayo ni maneno hata kwenye kanga yapo lkn ukweli unaujua
 
Wanahistoria msaidie jamaa yetu kwa hoja bhana ishu za matrinial na patrinial
 
Mwanaume ni kiongozi, mwanaume ni kichwa, mwanaume ni etc etc etc.... kitabu cha mwanzo Mungu alimwambia Adam "Nitakufanyia msaidizi wa kufanana nawe"

Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...kwo mwanaume ndo mmiliki wa kila kitu.

Apingae hili, anapingana na Mungu
 
Hayo ni maneno hata kwenye kanga yapo lkn ukweli unaujua
Hivi bado huamini mtoto Wa mwanaume? Ina maana hata Kama sio baba halisi lakini MWANAUME NDY AMEWEKA MBEGU ZAKE HUMO
 
Nimekaa nikatafakari saana

Hivi kwanini mtoto anakuwa Mali ya baba wakati kwa mawazo yangu Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona).

Baada ya hapo kabila, ukoo vyote anafata kwa baba.

Why??
Hakuna mtu anaye miliki mtu mwingine..! Mtoto ni mali ya jamii tangu leo ujue hilo.
 
Back
Top Bottom