wachawi huwa ndio waliaji wakubwa misibani,zitto is no exception...muulize kilichomsibu kikwete alipomteua kamati ya madini...alianza kumiliki hammer na vogue....mzalendo my ass.Zito wewe ni mwanasiasa talented na smart sana,naamini haya yote unazushiwa tu kwa sababu ya wivu coz mti wenye matunda ndo upigwao mawe,Tunataka ukombozi na ukombozi wa ukweli ni kufuata misingi ya uasisi wa taifa letu kama ACT inavyosema.Tuna imani na wewe tuna imani na ACT pia.
Nondo....hizi asante sana
jinga kabisa,you are blinded.Muulize zitto wako lini mjamaa nyerere aliwahi kumliki hammer na vogue?!!!! eti mzalendo.
umepotea njia aiseeNaona unajitoa fahamu tulia dawa ikuingie kamanda majibu ya Zitto mujarbu.
Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
mimi kitu kimoja nachokijua ni kwamba hili swala lenu la ujamaa ni kama utapeli wa kisiasa mnataka kufanya mjamaa gani mkitaka kuongea na waandishi wa habari mpaka muende Serena hotel. ni ujamaa upi mnauzungumzia. hv kama msando kweli unaweza kumuita mjamaa mimi msando ninaemjua nje ndani awe mjamaa yule mtu acheni kuwaona Watz mabwege bana. mmekitangaza sana Chama chenu na mmealika watu mbali mbali kutoka ndani na nje ya nchi mnaweza kutuambia mmepata wapi hela zote hizo wajamaa wetu.Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
Inadaiwa Zitto alitaka ajiunge na ACT-Kigoma tangu mwaka jana mwezi wa 9,na huu ndo unaweza ukawa mwezi ambao Zzk alichukua kadi ya chama chake that y ukitazama kwenye picha kadi yake unaonekana si mpya kabisa.
Nikirudi kwenye hoja ya msingi inadaiwa Zzk alishauriwa na spika wa Bunge mama Anna Makinda kwamba akiachana na CHADEMA na kujiunga na chama alichokiasisi cha ACT-Kigoma,asingepata stahiki zake kibunge,akashauriwa kwamba anaweza kufikia maamuzi hayo ikiwa imebakia miezi 3-4 kabla ya bunge halijavunjwa yaani mwezi wa 7,that y Zzk aliufyata mpaka hapo juzi baada ya kuahikikishiwa kulipwa mafao yake yote ya kibunge,ndo akasepa,(hapa alijari tumbo lake zaidi).
Na hii pia itaihusu familia ya Komba ,watalipwa stahiki zote ambazo marehemu kapten Komba(R.I.P)angelipwa kama angefika mwezi wa 7 bunge litakapovunjwa.
Bt kwa Mpendazoe sijui ni lini aliacha kiti chake bt pia kujiunga kwake na CDM kulimkosti,Zzk ni kibaraka wao,that y wanambeba,shetani hawezi watupa mawakala wao.
wajinga hawaelewi,wapuuze tu,kama tunavyopuuzaHilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
Haya mmeambiwa leteni ushahidiHilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
Simple!! Mpendazoe alikuwa anaadhibiwa kwa kujiuzulu ubunge wa chama tawala na kukiaibisha chama kwa kujiunga na wapinzani. Zitto kwa upande wake anapongezwa kwa kujitoa kwenye chama kikuu cha upinzani na hivyo kudhoofisha upinzani nchini.
.....Msiamini maneno ya wanasiasa...., hilo gari nilipewa zawadi/ nunuliwa na rafiki zangu....., nionyesheni hilo gari liko wapi......!?!?!
Mimi nasema hivi ikiwa kweli umesaliti mageuzi kwasababu yeyote ile, ilihali ukijua fika hata wewe kwa wakati fulani uliishi maisha magumu yasiyokuwa na matumaini mpaka mageuzi yakakubadilishia history...... Mungu mwenyewe ajuaye mambo ya sirini akuhukumu!
What will it profit a man if he gains the whole world and loses his life/personality?
Zitto acha unafki... eti sula la pesa sio la msingi kwenye maamuzi yako, unahisi unamdanganya nani? wale jamaa wa usalama walikua wanakutumia bila malipo? stori kama hizi wapelekee mwandiga!
ngoja tukuletee ushahidi hapa msaliti mkubwa wee.acha kutapeli watu kwa kujiita mjamaa.mjamaa gani anafanyia mikutano Serena Hotel?uliuza majimbo ya chadema unajifanya una mapenzi na chama,umewauza mpaka wapiga kura wako kwa ccm na kukimbilia kigoma mjini.je umekuwa wa mwisho kutoka chadema?Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
Mkuu naona dawa imekuingia...huyu ndio mwalimu wa siasa safi..