Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

Pesa za kuzunguka nchi nzima mpepata wapi kama sio wafadhili wenu ccm wamewapa?
msajili wa vyama vya siasa anzeni mapema ukaguzi wa act ni tishio kwa usalama wa taifa
 
Pesa za kuzunguka nchi nzima mpepata wapi kama sio wafadhili wenu ccm wamewapa?
msajili wa vyama vya siasa anzeni mapema ukaguzi wa act ni tishio kwa usalama wa taifa
Hoja ilikuwa ni Kwanini Zitto analipwa mafao na Mpendazoe hakulipwa, Mzalendo Zitto ameshaipangua hapo juu. Hizi porojo zako nyingine anzishia thread yake.
 
Kwahiyo kupewa Zito wewe imekunyima usingizi. !?
Roho mbaya kweli haina kwao!
 
mkuu thibitisha mpendazoe alipewa mafao,eti unafanya biashara na mashirika uliyokuwa unayakagua!!!una tofauti gani na chenge na iptl yake?

Haa ha ha muulize Mbowe anayefanya biashara na Chadema kila siku.
 
Mbona hata makazini, maofisini haya mambo yapo tuu, double standards zipo nyingi sana, inategemea una mrengo gani na bosi wako.
Zitto anatoa mapovu mengi kujitetea, sawa ameacha kupokea posho ya 24m, lakini anapokea 500m escrow, hapo nani mjinga wa kudanganywa?
 
Unajidanya unajua wakati hujui kitu, haya onyesha hiyo kanuni inayosema mbunge akijiuzulu anakosa mafao?hakuna kitu kama hicho.

Japo mafao yanakokotolewa kwa muda uliokuwa bungeni, hivyo atakavyopata aliyejiuzulu kabla bunge halijavunjwa atapata pungufu ya miezi kadhaa ukilinganisha na wengine.
 
Kweli machiz wapo wengi.Kwahiyo Zitto akala za Escrow alafu Prof Muhongo na Pinda wakashindwa kumlipua?chiz kweli wewe l
 
Pesa za kuzunguka nchi nzima mpepata wapi kama sio wafadhili wenu ccm wamewapa?
msajili wa vyama vya siasa anzeni mapema ukaguzi wa act ni tishio kwa usalama wa taifa

Unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe?kweli mmepaniki.

Ngoja kesho nirushe mpesa kuendelea kusaidia uenezi wa chama cha Wazalendo.Unakaribishwa kuchagia.Ni mimi na wewe tutakijenga chama chetu.

Uzuri ACT pesa za chama hazifanywi SACCOS ya watu kama kule kwetu.
 
Nani alikuambia zitto alijiuzulu?
Mbona alishafukuzwa CDM toka mwaka jana?
Au unadhani hatujui mipango yake na Makinda?
Zitto ni kibaraka mkuu wa Ccm wanajitahidi kumbeba hata kwa kuvunja sheria lakini wallah nakuambia hatobebeka mwisho wa siku tutamsahau kwenye siasa kama wenzie wote walioendekeza siasa za usaliti.
 
Pesa za kuzunguka nchi nzima mpepata wapi kama sio wafadhili wenu ccm wamewapa?
msajili wa vyama vya siasa anzeni mapema ukaguzi wa act ni tishio kwa usalama wa taifa

Duuuh! wakaskazini mna roho mbaya! kwahiyo Mbowe na Slaah na mchumbake ndo wana haki ya kuzungukaa nchi nzima! ?
 
maneno yako ni mzito na yana Ukweli ndani yake.
 
Duuuh! wakaskazini mna roho mbaya! kwahiyo Mbowe na Slaah na mchumbake ndo wana haki ya kuzungukaa nchi nzima! ?

Wana haki maana chama kimekaguliwa na vyanzo vyake vya fedha vinajulikana.
Vipi ACT wanapata wapi fedha za kurusha matangazo Live kwenye mkutano wao?
Au baada ya zitto kupewa mafao tatanishi na ruzuku wameanza kupewa?
 
Muulize Dr Slaa kama Zitto alifukuzwa au kajiuzulu, kama ata hilo ujue utajuaje mengine?wewe soma tu mada humu, kuchangia hilo level bado.

Kwa sasa upo chekechea ya siasa, soma kwanza kisha ukishajua ndio utaweza kuchangia.Saiz bado hujui lolote.
 
Ndio maana nimesema inaonyesha bado hujui chochote juu ya siasa na vyama vya siasa.

Ona sasa ata hujui vyanzo vya mapato ya pesa za vyama vya siasa, siku ukipata nafasi ya kumuona mkutanoni Dr Slaa muulize, je pesa uwa mnapata wapi nje ya ruzuku?

Ata ungekuwa unahudhuria mikutano ya tawi lako tu ungejua.
 
Muulize Dr Slaa kama Zitto alifukuzwa au kajiuzulu, kama ata hilo ujue utajuaje mengine?wewe soma tu mada humu, kuchangia hilo level bado.

Kwa sasa upo chekechea ya siasa, soma kwanza kisha ukishajua ndio utaweza kuchangia.Saiz bado hujui lolote.

Siasa ni nini?nipe jibu la hili swali msomi wa sayasi ya siasa
 
Mkuu namswali machache kwako!....ningependa kupata majibu....

1. Kwanini chama chako kinaungwa mkono na makada wengi wa CCM?..

2. Kwanini chama chako kina pambana na Chadema tu na sio CCM walio shika dola?

3 . kwanini watu walio kuzunguka na wenye kukunga mkono katika siasa zako hasa kwenye chama chako, Wana Watusi viongozi walio kulea kisiasa tena kwa dharau?...
Mfano...Msondo ambae ni mwanasheria wako.
Habibu mchange, na hawa wote ni makada wa Act!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…