Heshima kwako mkuu Zitto. Kuna taarifa kwamba pamoja na kususia posho pamoja msamaha WA kodi lakini kuna udhibitisho kwamba umevuna fedha nyingi zaidi ya hizo posho kutoka NSSF,IPTL,BUZWAGI na baadhi ya mashirika mengine ya umma jambo ambalo umeshindwa kukanusha mpaka Leo.
Mkuu watu wanataka mabadiliko kwa kuiondoa ccm lakini umekuwa msaliti wa mabdililiko hayo
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;
- Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
- Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.
Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.
Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha

Kaka yangu Zitto Pole sanaa, Ungemsikilima Prof. Baregu na Marehemu Mama yako- yasingekutokea hayo yaliyokutokea , CCM siyo watu wazuri wanakutumia then wanakudump , pole sana jenga Chama chako sasa ,Ongea na LIMBU vizuri usiwe na haraka ya vyeo huko ACT. anza polepole watu wakikubali utakuwa tu mwenyekiti wa ACT. AchaTamaa ya Uongozi.
Zito ni tajiri kuliko wabunge wate wa chadema
Kaka yangu Zitto Pole sanaa, Ungemsikilima Prof. Baregu na Marehemu Mama yako- yasingekutokea hayo yaliyokutokea , CCM siyo watu wazuri wanakutumia then wanakudump , pole sana jenga Chama chako sasa ,Ongea na LIMBU vizuri usiwe na haraka ya vyeo huko ACT. anza polepole watu wakikubali utakuwa tu mwenyekiti wa ACT. AchaTamaa ya Uongozi.
Kama kweli ni mzalendo kwanini mmepindua limbu alikuwa na makosa gani kuna wakati ulimdanganya mwana ukawa wetu kafulila apindue uongozi wa ncrr magezi kwanini huwa unatabia baya kiasi hichi?
Kuna mjamaa anatembelea hamer ?
Teh Teh hakika Zitto ni kiboko Bavicha wote wamekimbia..labda wakamlete Slaa..hahaha wamebaki na uongo wa mawio teh teh
Pwa hahahaha....hoja?watu wamemkimbiza kwa viswali vepesi kasign out sasa hivi anachungulia tu.
Kama kweli ni mjamaa aje hapa tuhoji ujamaa wake,Mtu tapeli na hoja zake za kitapeli eti unamsifu,Zitto hana hadhi ya Dr slaa iwe kwa hoja ama ya kijamii.
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;
- Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
- Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.
Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.
Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha
Naomba kujua yafuatayo
1. Wafanyakazi wengine wakifukuzwa kazi hawalipwi mafao yao, kwanini ninyi mlipwe??
2. Ulikuwa unasimamia mashirika ya hifadhi za jamii je! Uliwahi kukemea hill LA mpendazoe au ulipotezea ukijua zamu yako yaja.
Natamani update SIKU a kujibu hoja hapa jukwaani